Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Ana Ana Ana do,
Kachanika basto,
ispiringi matingo,
kajamba, ushuzi unanuka, tena sana, sana kabisa.
Nadhani huu wimbo ulikuwa wa kizungu ukaswahilishwa, kama kuna mtu anaujua asili yake anaweza kutuhabarisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amina panda mlima
Siwezi kupanda
Kwann huwezi kupanda?
Naumwa na tumbo
Tumbo hilo kakupa nani?
Kijana hassan
Kwann usikatae ?
Naona utamu
Siku ya kwanza Utamu yes yes utamu
Siku ya pili utamu yes yes utamu
Siku ya tatu utamu yes yes utamu
Siku ya nne ng'aa ng'aa

Hivi akiyetunga nyimbo hii alifilia nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi zitakuwa nyimbo za JKT
 
Kuna hii sijui tuiteje....
Nilonge nisilongeeee
Longaaaa
Mwenzenu womanity eeenheeeeee
Mchumba ake enheeeeeeeeee
Bujibuji watu eeeeeheeeeeeeeee
Kuna kabinti kalikuwa kabayaaaaa kwa sura Na umbo. Kalikuwa kananipenda sana, Basi kakawa kananiita mchumba. Mara ya Kwanza nilikuwa nakasirika sana, nikawa nakapiga, hakakukata tamaa, kaliendelea hivyo hivyo hadi nikazoea, Na Mimi nikaanza kukapenda, nikaendelea kukapenda Na kukapenda zaidi. Tukafika darasa la tano kakaanza kubadilika Na kung'aa. Akapendeza zaidi. Akazidi kunipenda Na kupendana. Kwenye party ya darasa la saba nikafungua nako muziki kwa kucheza blues.
Kwangu ilikuwa faraja kubwa, maungo yetu yalipogusana tulisisimka sana Na joto la balehe . Ile siku sitaisau kwani haikuacha bikira ya MTU salama.
 
Amina panda mlima
Siwezi kupanda
Kwann huwezi kupanda?
Naumwa na tumbo
Tumbo hilo kakupa nani?
Kijana hassan
Kwann usikatae ?
Naona utamu
Siku ya kwanza Utamu yes yes utamu
Siku ya pili utamu yes yes utamu
Siku ya tatu utamu yes yes utamu
Siku ya nne ng'aa ng'aa

Hivi akiyetunga nyimbo hii alifilia nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyimbo za mchakamchaka hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kabinti kalikuwa kabayaaaaa kwa sura Na umbo. Kalikuwa kananipenda sana, Basi kakawa kananiita mchumba. Mara ya Kwanza nilikuwa nakasirika sana, nikawa nakapiga, hakakukata tamaa, kaliendelea hivyo hivyo hadi nikazoea, Na Mimi nikaanza kukapenda, nikaendelea kukapenda Na kukapenda zaidi. Tukafika darasa la tano kakaanza kubadilika Na kung'aa. Akapendeza zaidi. Akazidi kunipenda Na kupendana. Kwenye party ya darasa la saba nikafungua nako muziki kwa kucheza blues.
Kwangu ilikuwa faraja kubwa, maungo yetu yalipogusana tulisisimka sana Na joto la balehe . Ile siku sitaisau kwani haikuacha bikira ya MTU salama.

Khaaaa aahahahahahahhahaaaa hiyo sentensi ya mwisho ndo imenisisimua haya wacha nigaukie kwa dadiiiiii.
 
-kadee mama kadee mama,
baba na mama kadee mama,
Walinituma kadee mama,
kulea mtoto kadee mama,
kufika njiani kadee mama,
Wakanigeuza kadee mama,
Nikawa liboga kadee mama,
Amina.........
Amina kadala...

-kibunzi kibunzi cha umeme cha umeme,
mwana mbuzi kajamba, kamjambia mkewe
degedege malenga.................. hapo mmechafuka full mavumbi mnarudi home baada ya michezo mbalimbali
 
Hivi ule utamaduni wa mangongoti(mtaalam anayevaa kama dude la kutisha huku akitembea juu ya miti miwili kumfanya aonekanae mrefu kama giant) imepotelea wapi these days?, i relly miss it
Iliiishia miaka ya tisini 96 hivi Kama sikosei pamoja na Joyce wowowo. Ule mdoli una wowowo unawekewa mzki unakata mayenu
 
Kuna kabinti kalikuwa kabayaaaaa kwa sura Na umbo. Kalikuwa kananipenda sana, Basi kakawa kananiita mchumba. Mara ya Kwanza nilikuwa nakasirika sana, nikawa nakapiga, hakakukata tamaa, kaliendelea hivyo hivyo hadi nikazoea, Na Mimi nikaanza kukapenda, nikaendelea kukapenda Na kukapenda zaidi. Tukafika darasa la tano kakaanza kubadilika Na kung'aa. Akapendeza zaidi. Akazidi kunipenda Na kupendana. Kwenye party ya darasa la saba nikafungua nako muziki kwa kucheza blues.
Kwangu ilikuwa faraja kubwa, maungo yetu yalipogusana tulisisimka sana Na joto la balehe . Ile siku sitaisau kwani haikuacha bikira ya MTU salama.
Hahahahha....Bora RRONDO(sijui kumention name) kaniimbia isije ikashindwa kubaki salama bure!! Ila watu hubadilika kamchumba kangu ka utotoni kalikuwa kahb kweli mpka tunamaliza la saba.Sec akaenda boarding kurudi nikakataa kabisa ktk akili Kama yeye!!! Ila mi aliniacha salama lol!!!
 
Ushuani watoto pia wanachelewa kuongea, Huku kwetu Kwamtogole msuto unaanza ukiwa na mwaka mmoja. Ukifisha miaka miwili wewe ni mtaalamu hata matusi unayajua.
Hahahah mkuu nimecheka sana,hahah hata mapenzi tutoto twa uswazi tunayajua mapema sana sijui ni chabo za usikiu na hiyo michezo ya kamfichamo
 
Na mingine ilikuwa inachochea uzalendo maana mi nakumbuka tukiwa wadogo tumeimba sana nyimbo za CCM na nchi kwa ujumla na tulikuwa na misemo mingi tuu kama OMBA OMBA NYERERE AMEKATAZA!
IDDI AMINI AKIFA,MIMI SIWEZI KULIA NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMNA,HAPA NAAHIDI MBELE YA CHAMA,MAPINDUZI NITAKULINDA MPAKA KUFA NK
 
Saaa ya babu mzeee
Yaenda vizur sasa miaka tisinii
Nindefu kuliko mzee mwenyewe
Lakini sasa yeye ni mzeeee
Siku ile azaliwa ile saa ya nunuliwa ikamfurahisha daimaaaa
Tisini miaka weeee
Tikitaka tikitaka
Haichoki kulia weeeee
Tikitaka tikitaka
Ila tu basi
Haiendi tenaaaa akifa mzeeeee
 
Back
Top Bottom