Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nage ya wote diginjaaaaa
Kama hutaki sambaaa
Nenda ukauze dagaaaa
Bei shilingi miaaaa
 
Kipepe waenda wapiii
Naenda mazishinii
Aliekufa ninaniiii
Mzungu wa banianiii

Kipepee zungulukaaaaa
Ukitaka inama inukaaa
Kipepee zungulukaa
Ukitaka inama inukaaa

Cc Smart911
 
Hahah hello Kasinde, ilikuwa kipindi cha michezo cha RTD...

Sijui kwa sasa kama wanatumia mdundo huo huo au walibadilika baada ya kuwa TBC...

Hahahahahhahaa huo wimbo tulikuwa tunaimba kutokana na ala iliyokuwa inapigwa radio tanzania wakati wa mida ya kula chakula cha usiku. Sikumbuki ilikuwa kipindi gani ila sie tulikuwa tunaimba hiviii

Baba Asha nae, na viraka vyake..
Vinaulizana umekuja linii
Nimekuja janaa kuamkia leeooo. .....
 
Hahah hello Kasinde, ilikuwa kipindi cha michezo cha RTD...

Sijui kwa sasa kama wanatumia mdundo huo huo au walibadilika baada ya kuwa TBC...

Hello Watu8,
Ooh asante kanikumbushia, nami sijui kama siku hizi bado wanatumia huo mdundo maana sijasikiliza radio TBC siku nyingi sana.

How are you by the way? Umeadimika....... nrushie ganja basi.....
 
How are you by the way? Umeadimika....... nrushie ganja basi.....

Am good cupcake!!!

Jukwaa la nyuma napatikana muda wote ukuje tu uipate ganja yako ikiwa imewashwa...
 
Am good cupcake!!!

Jukwaa la nyuma napatikana muda wote ukuje tu uipate ganja yako ikiwa imewashwa...

Thanks that you are good.

Umeniacha kidogo, jukwaa la juu ni lipi hilo?
 
Oooh right there.... see you.

Nna kiu sana na ganja hehehee, siku nyingi sijavuta msuba.
Na ukishapiga misuba yako hata mwandiko wako hubadilika...

Unaanza kuja na ile misredi yako ya kuamsha wadudu wakorofi mwilini...
 
Mama wa kambo, mbo
Mbona wanitesa sa
Sasa naondoka ka
Kaa peke yako ko
Koti la babu bu
Bubu asemi mi
Mimi nasema ma

Mwengine aendelee..

Hizi nyimbo hata origin haijulikan..!
Mama mzazi
Zizi la ng'ombe
Mbele ya nyumba
........ [emoji23] [emoji23] nimesahau ni miaka ya tisini huko ndo mara yangu ya mwisho kuuimba
 
Mama mzazi
Zizi la ng'ombe
Mbele ya nyumba
........ [emoji23] [emoji23] nimesahau ni miaka ya tisini huko ndo mara yangu ya mwisho kuuimba
Ni kweli mkuu huwa unaanzia na mama mzazi.. Ndo maana flow ikakata kumbe nilikosea... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Baba mdogo nishoneee kotiiiii
Mji wa mombasa unawaka motooo
Chikiri chikiri chikiri chikiriiiiiii x2

Hapo kuna style ya kucheza
Huo wimbo
Mnakuwa mmeunganisha mguu mmoja mmoja kwa kutumia kamba
 
Na ukishapiga misuba yako hata mwandiko wako hubadilika...

Unaanza kuja na ile misredi yako ya kuamsha wadudu wakorofi mwilini...

Aahahahahahahahaaaa loooh

Kumbe umenisoma eeh...

Yaani nikiwa peak kwa misuba. ... sredi huwa zinadondoka tuu hahahahaa

Mahabat Mahaba Kasie...
 
Mama mzazi
Zizi la ng'ombe
Mbele ya nyumba
........ [emoji23] [emoji23] nimesahau ni miaka ya tisini huko ndo mara yangu ya mwisho kuuimba
Mba mbali na wewe we wembe wa kucha cha chakula kitamu mu Mungu mkubwa bwa bwawa la samaki ki king majuto to tone la maji ji jitu la kale le lenye mandevu vu vumbua dhahabu bu bubu hasemi Mimi mdogo go gogo la mti ti tina na mjuba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapana chezea kalumanzila
 
merriiiiiiiiiii kanyo misuji..ukurutu ngumeshi
 
Back
Top Bottom