Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuuuhhh [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Na atakayeangusha kijiti wakati wa kula anaambulia kupigwa makofi mwili mzima mpaka aende kugusa au kushika kitu mlichokubaliana ndio mnamwachia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na ilikua hafanikiwi kugusa hicho kitu maana alikua anavutwa shati na mibao ya mgongo juu πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Chidea chidea, chide chidee chide chidee, i love you nakupenda"
 
Huku kwetu nyanda za juu kusini tulikuwa tukiimba " tunsindikilepo...bhibhiii..ontali engono bhibhi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…