Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Washereheshaji walitaka kuonyesha dunia utamaduni wa mswahili.Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.
Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Kwenye jukwaa la kimataifa huwezi kuimba nyimbo ya Baba Lao ukatiliwa maanani kama mziki wa kimataifa.Muziki siyo ujumbe tu! Muziki ni mdundo, sauti, ujumbe, nk. Kama ingekuwa muziki ni ujumbe pekee, basi vijana wa zamani kama sisi tusingeipenda miziki ya Wakongomani, ya Kihindi, ya Kizungu, nk!
Imagine Wakongomani wanaimba kwa lugha ya Kilingala na Kifaransa, lakini mwisho wa siku tuliipenda!! Imahine katika wimbo unasikia tu maneno kama bolingo nangai, sheli nangai, nk. Lakini mdundo na sauti, vilitufurahisha.
Kwa hiyo ulitaka aimbe nini? Au ulitaka aimbe wimbo unaohusiana na hayo mashindano? Aliandaliwa mapema? Kwani akina Davido wanapoalikwa kutumbuiza kwenye matamasha kama hayo, huwa wanaimba nini?Kwenye jukwaa la kimataifa huwezi kuimba nyimbo ya Baba Lao ukatiliwa maanani kama mziki wa kimataifa.
Ukiwaimbia West Singeli ya Pita Huku ya Dulla ya Makabila unaweza kunyimwa visa hata kwa miaka 100 kuingia katika nchi zao japo ni utamaduni wako wa Kiswahili.Washereheshaji walitaka kuonyesha dunia utamaduni wa mswahili.
Tatizo lako na wewe Umarekani umekuathiri sana.Ukiwaimbia West Singeli ya Pita Huku ya Dulla ya Makabila unaweza kunyimwa visa hata kwa miaka 100 kuingia katika nchi zao japo ni utamaduni wako wa Kiswahili.
Music wa Kimataifa unapaswa kuwa universal zaidi.
Muziki ambao ni Universal, muziki ambao watazamaji na wasikilizaji wake wengi wanajisikia ni sehemu yake.Kwa hiyo ulitaka aimbe nini? Au ulitaka aimbe wimbo unaohusiana na hayo mashindano? Aliandaliwa mapema? Kwani akina Davido wanapoalikwa kutumbuiza kwenye matamasha kama hayo, huwa wanaimba nini?
Ndiyo nikakumbia muziki unahusu vitu vingi. Na siyo ujumbe pekee.
Mimi kwa mfano huo wimbo huwa ninapenda kuusikiliza kwa sababu tu ya mdundo wake na pia sauti za waimbaji. Kwenye ujumbe, wala sitilii maanani. Maana siyo kila wimbo unaweza kukamilika kwa 100%.
jamaa ni utopolo alitaka aimbe mrisho mpoto labda"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Nin tafsiri ya neno ushamba? Yaezekana hata mwandishi akawa mshamba pasipo kujuaNilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.
Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Wasipokuelewa na hapa nitaamini kule wenye akili ni wawili tuCAF walisema wanataka msanii mmoja tu Simba wakapendekeza Ali kiba.CAF wakamwambia Alikiba apeleke nyimbo Tano basi nyimbo waliyochagua ni hiyo sumu kati ya hizo Tano.Ile shughuli imeratibiwa na CAF.Alikiba alipewa masharti nyimbo yake aimbe Kwa Dk 2 ma sec17 awe ameshamaliza.ndo maana uliona mambo yanaenda fasta fasta alivomaliza kapewa kibunda chake akapita hivi.
Wenye akili mshakuwa watatu, hongera mkuuMuziki siyo ujumbe tu! Muziki ni mdundo, sauti, ujumbe, nk. Kama ingekuwa muziki ni ujumbe pekee, basi vijana wa zamani kama sisi tusingeipenda miziki ya Wakongomani, ya Kihindi, ya Kizungu, nk!
Imagine Wakongomani wanaimba kwa lugha ya Kilingala na Kifaransa, lakini mwisho wa siku tuliipenda!! Imahine katika wimbo unasikia tu maneno kama bolingo nangai, sheli nangai, nk. Lakini mdundo na sauti, vilitufurahisha.
Hata mimi nilishangaa sana πππNilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.
Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
CAF imejaa watu wazembe na wanasiasia, pia Waafrika wengi sio watu wa kupenda kuambiana ukweli wa wazi usoni.CAF walisema wanataka msanii mmoja tu Simba wakapendekeza Ali kiba.CAF wakamwambia Alikiba apeleke nyimbo Tano basi nyimbo waliyochagua ni hiyo sumu kati ya hizo Tano.Ile shughuli imeratibiwa na CAF.Alikiba alipewa masharti nyimbo yake aimbe Kwa Dk 2 ma sec17 awe ameshamaliza.ndo maana uliona mambo yanaenda fasta fasta alivomaliza kapewa kibunda chake akapita hivi.