Nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa la kimataifa la AFL ni ushamba

Hahahaa tatizo Ali ni mbishi hataki kuwa na management nzuri ambayo itamuwezesha kufanya mambo yake kimataifa
Ndy maana hata video zake sio Kali yaan ni low quality,low ideas ,no creativity kwasababu hatoi hela nzur kuwekeza kwenye videos na kutafuta mameneja na team ambayo itamsaidia kufanya vitu kama msanii mkubwa daaah ,
Show kubwa Ila ilikuwa mbovu kasaidiwa tu na wale madansa wa caf ,
Na bora angeperform tu hata nyimbo ya taifa .
 
Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.

Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Washereheshaji walitaka kuonyesha dunia utamaduni wa mswahili.
 
Muziki siyo ujumbe tu! Muziki ni mdundo, sauti, ujumbe, nk. Kama ingekuwa muziki ni ujumbe pekee, basi vijana wa zamani kama sisi tusingeipenda miziki ya Wakongomani, ya Kihindi, ya Kizungu, nk!

Imagine Wakongomani wanaimba kwa lugha ya Kilingala na Kifaransa, lakini mwisho wa siku tuliipenda!! Imahine katika wimbo unasikia tu maneno kama bolingo nangai, sheli nangai, nk. Lakini mdundo na sauti, vilitufurahisha.
Kwenye jukwaa la kimataifa huwezi kuimba nyimbo ya Baba Lao ukatiliwa maanani kama mziki wa kimataifa.
 
Kwa hiyo ulitaka aimbe nini? Au ulitaka aimbe wimbo unaohusiana na hayo mashindano? Aliandaliwa mapema? Kwani akina Davido wanapoalikwa kutumbuiza kwenye matamasha kama hayo, huwa wanaimba nini?

Ndiyo nikakumbia muziki unahusu vitu vingi. Na siyo ujumbe pekee.

Mimi kwa mfano huo wimbo huwa ninapenda kuusikiliza kwa sababu tu ya mdundo wake na pia sauti za waimbaji. Kwenye ujumbe, wala sitilii maanani. Maana siyo kila wimbo unaweza kukamilika kwa 100%.
 
Washereheshaji walitaka kuonyesha dunia utamaduni wa mswahili.
Ukiwaimbia West Singeli ya Pita Huku ya Dulla ya Makabila unaweza kunyimwa visa hata kwa miaka 100 kuingia katika nchi zao japo ni utamaduni wako wa Kiswahili.
Music wa Kimataifa unapaswa kuwa universal zaidi.
 
Tatizo lako na wewe Umarekani umekuathiri sana.
 
Kwa hiyo ulitaka aimbe nini? Au ulitaka aimbe wimbo unaohusiana na hayo mashindano? Aliandaliwa mapema? Kwani akina Davido wanapoalikwa kutumbuiza kwenye matamasha kama hayo, huwa wanaimba nini?

Ndiyo nikakumbia muziki unahusu vitu vingi. Na siyo ujumbe pekee.

Mimi kwa mfano huo wimbo huwa ninapenda kuusikiliza kwa sababu tu ya mdundo wake na pia sauti za waimbaji. Kwenye ujumbe, wala sitilii maanani. Maana siyo kila wimbo unaweza kukamilika kwa 100%.
Muziki ambao ni Universal, muziki ambao watazamaji na wasikilizaji wake wengi wanajisikia ni sehemu yake.
Mke wa mtu sumu sio aina ya huo muziki.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Ulitaka aimbe kama jay z ili iweje sasa??,,penda Cha kwako hata kama ni local
 
Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.

Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Nin tafsiri ya neno ushamba? Yaezekana hata mwandishi akawa mshamba pasipo kujua
 
CAF walisema wanataka msanii mmoja tu Simba wakapendekeza Ali kiba.CAF wakamwambia Alikiba apeleke nyimbo Tano basi nyimbo waliyochagua ni hiyo sumu kati ya hizo Tano.Ile shughuli imeratibiwa na CAF.Alikiba alipewa masharti nyimbo yake aimbe Kwa Dk 2 ma sec17 awe ameshamaliza.ndo maana uliona mambo yanaenda fasta fasta alivomaliza kapewa kibunda chake akapita hivi.
Wasipokuelewa na hapa nitaamini kule wenye akili ni wawili tu
 
Muziki siyo ujumbe tu! Muziki ni mdundo, sauti, ujumbe, nk. Kama ingekuwa muziki ni ujumbe pekee, basi vijana wa zamani kama sisi tusingeipenda miziki ya Wakongomani, ya Kihindi, ya Kizungu, nk!

Imagine Wakongomani wanaimba kwa lugha ya Kilingala na Kifaransa, lakini mwisho wa siku tuliipenda!! Imahine katika wimbo unasikia tu maneno kama bolingo nangai, sheli nangai, nk. Lakini mdundo na sauti, vilitufurahisha.
Wenye akili mshakuwa watatu, hongera mkuu
 
Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.

Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye jukwaa kubwa hivi tulifeli pakubwa sana na kujiaibisha. Nyimbo za kuweka katika majukwaa ya kimataifa zinapaswa kuwa classic na kuonyesha hali ya uki-mataifa.
Hata mimi nilishangaa sana 😄😄😄
 
CAF walisema wanataka msanii mmoja tu Simba wakapendekeza Ali kiba.CAF wakamwambia Alikiba apeleke nyimbo Tano basi nyimbo waliyochagua ni hiyo sumu kati ya hizo Tano.Ile shughuli imeratibiwa na CAF.Alikiba alipewa masharti nyimbo yake aimbe Kwa Dk 2 ma sec17 awe ameshamaliza.ndo maana uliona mambo yanaenda fasta fasta alivomaliza kapewa kibunda chake akapita hivi.
CAF imejaa watu wazembe na wanasiasia, pia Waafrika wengi sio watu wa kupenda kuambiana ukweli wa wazi usoni.
 
Ulitaka aimbe kama jay z ili iweje sasa??,,penda Cha kwako hata kama ni local
Muziki mzuri ni mzuri tu na haihitaji mapenzi ya kulazimisha, unajiuza wenyewe ndio maana umemkumbuka Jay Z haraka haraka.
 
Kuuliza ama kukaa kimya ni busara kubwa kuliko kujitia mjuaji kama vile ulikuwepo kwenye Kamati.
 
Back
Top Bottom