Nyimbo za wanaharakakati kama kina roma zina mchango gani msimu huu wa uchaguzi?

Nyimbo za wanaharakakati kama kina roma zina mchango gani msimu huu wa uchaguzi?

waterproof

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2020
Posts
387
Reaction score
349
Vipi wadau me naona Roma ashushe moja ya kiwanaharakati tumemisi hivyo vitu sana maana sabufa zina vumbi mno
 
Kweli bwana halafu kama vipi amchane yule mtu mfupi kutoka chattle kama alivyomchana JK wakati ule na kutangaza hadharani kuwa wakimkata wamchinje wamtupe kwenye daraja la mkapa
 
Back
Top Bottom