Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Majukumu ya Wabunge unayajua lakinu kikatiba?Utavuna ulichopanda ×2
Kiitikio
Ulichopanda×2,Utavuna!
Wananchi tusidanganyike na vitenge, vyakula,pesa nk
Kama mmbunge aliyopo madarakani,hajafanya lolote kwenye Jimbo lake mbali na msukumo wa serikali,asirudi Bungeni.
Kama ni mgombea wa mara ya kwanza,tumuulize huko alikuwa amefanya Nini Cha maana Cha kukumbukwa ili asije kutuingizia chaka!..
Nao Hawa wa no reforms no election Wana hoja,wasikilizwe.
Na Wewe unayenijibu pia ni mpumbavu,jibu hoja acha dharau za kipumbavu,Hunijui ,sijui,kama ni wewetau nduguyo hajafanya lolote njooni kulima nayo ni kazi,hiyo ya kazi mmbunge,Kaa nayo.Majukumu ya Wabunge unayajua lakinu kikatiba?
1. Kuisimamia Serikali
2.Kutunga sheria
3. Kuwakilisha wananchi.
Maendeleo sii jukumu la Mbunge hasa ukika kwenye swala la check and Balance.
Nchi imejaaa wapumbavu mfano wewe na unajiita great thinker, Mungu waMbinguni saidia.
elewa kwamba wewe ni mpumbavu period.Na Wewe unayenijibu pia ni mpumbavu,jibu hoja acha dharau za kipumbavu,Hunijui ,sijui,kama ni wewetau nduguyo hajafanya lolote njooni kulima nayo ni kazi,hiyo ya kazi mmbunge,Kaa nayo.
Safari hii unalo form zinazidi kuchukuliwa!Kutunga Sheria utatungia nyumbani kwako!Majukumu ya Wabunge unayajua lakinu kikatiba?
1. Kuisimamia Serikali
2.Kutunga sheria
3. Kuwakilisha wananchi.
Maendeleo sii jukumu la Mbunge bali la Serikal, hasa ukija kwenye swala la check and Balance.
Nchi imejaaa wapumbavu mfano wewe na unajiita great thinker, Mungu waMbinguni saidia.
Bora ungenyamaza, hii unaonyesha Upumbavu wako120%!Utaomba poo!elewa kwamba wewe ni mpumbavu period.
Ndio sasa wabunge pale Dodoma wanapitisha sera za Kingese sana kwa raia wao, na wakijua fika wajinga kule jimboni hawana haja na sera za nchi, wanacho taka ni zahanati na maji na kadhalika, acheni huu upumbavu.Na Wewe unayenijibu pia ni mpumbavu,jibu hoja acha dharau za kipumbavu,Hunijui ,sijui,kama ni wewetau nduguyo hajafanya lolote njooni kulima nayo ni kazi,hiyo ya kazi mmbunge,Kaa nayo.
Hiyo black movement Yako,itakuwa dirt movement!Bora ungenyamaza, hii unaonyesha Upumbavu wako120%!Utaomba poo!
Po kwa mjinga kama wewe? aiseeBora ungenyamaza, hii unaonyesha Upumbavu wako120%!Utaomba poo!
Labda huko kwenu,sisi hayo mahitaji ya maji,Zahanati ,shule Toka mjerumani zipo,maji tumegawana mito ya mifugo na Binadamu!Kwa kipaombele chako sio chetu!Ndio sasa wabunge pale Dodoma wanapitisha sera za Kingese sana kwa raia wao, na wakijua fika wajinga kule jimboni hawana haja na sera za nchi, wanacho taka ni zahanati na maji na kadhalika, acheni huu upumbavu.
Kumbuka kila mtu ni Bora kwa nafasi yake, kwa hiyo sikushangai,wakati mwingine suti ni la kutoka ukweni,mwingine ni uniform ya mahakamani,Ishi Kwa adabu,utaishi hata kwa unayehisi ni mjinga!Po kwa mjinga kama wewe? aisee
Jitahidi katika Maisha ,kutunza kauli za mdomo,zitakughalimu maishani pamoja na dharau hukunukikumbuka kifo kipo kwa wote unaowaona wapumbavu na Wewe mwenye iq KUBWA,ili kuishi wapumbavu na wajinga,Ishi nao,usijijweze sana .Ndio sasa wabunge pale Dodoma wanapitisha sera za Kingese sana kwa raia wao, na wakijua fika wajinga kule jimboni hawana haja na sera za nchi, wanacho taka ni zahanati na maji na kadhalika, acheni huu upumbavu.
Anaacha kujibu hoja,anaanza kashfa,kama kayakoroga huko jimboni,kimemlamba!Harudi .Piganeni