msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 253
- 302
Sawa Zuchu tumekusikia.Kama ilivyo kwa wanaume wengi hata mimi pia nimetokea kupenda nyimbo za zuchu na kuziacha siwezi. mimi kunikuta naimba KWIKWI ni jambo la kawaida
[emoji16][emoji16][emoji16]
Njia gani nitumie kuepusha hilo maana naona hata wake zangu na watoto wangu wanaanza kufata nyayo zangu
Nawasilisha Cc: msukule mzembe
@macalister
Hahahahaaa... Atakua ameiimba kinoma kweli...tena katikati ya kundi la madume akajikuta akitolewa macho 🤣🤣🤣🤣 mara volume down papapapap🤣🤣🤣🤣😄😁😄Vipi hujaanza kuimba ile ya nampa nampa nampa papaaaaaa
Hahahaa au atabadilisha atasema nampakataaaaHahahahaaa... Atakua ameiimba kinoma kweli...tena katikati ya kundi la madume akajikuta akitolewa macho 🤣🤣🤣🤣 mara volume down papapapap🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji16][emoji1]Vipi hujaanza kuimba ile ya nampa nampa nampa papaaaaaa