Nyimbo za Zuchu

Nyimbo za Zuchu

FB_IMG_16867126997589620.jpg
 
Kama ilivyo kwa wanaume wengi hata mimi pia nimetokea kupenda nyimbo za zuchu na kuziacha siwezi. mimi kunikuta naimba KWIKWI ni jambo la kawaida
[emoji16][emoji16][emoji16]

Njia gani nitumie kuepusha hilo maana naona hata wake zangu na watoto wangu wanaanza kufata nyayo zangu

Nawasilisha Cc: msukule mzembe

@macalister
Sawa Zuchu tumekusikia.
 
Vitoto vya kike huku mitaani vinazipenda sana. vimekariri hizo nyimbo mstari kwa mstari.
 
Back
Top Bottom