Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kiukweli Tz tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( bongo fleva).
Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za bongo, hizi hapa nyimbo zangu tano kali za bongo fleva naweza kusema ni za muda wote toka nimeijua bongo fleva.
1: Mb Dogg si ulinimbia
2: Albert mangwea she got a gwan
3 : jay mo feat ngwea kimya kimya
4: Ferooz ft professor jay starehe
5: professor jay feat juma nature zali la mentali.
Tukiondoa hao malegend ambao tunao nitajie vipaji vipya vinavyotikisa kwa sasa?Vipaji hata sasa vipo tu, bora ungesema nyimbo zangu bora za miaka hiyo. Maana hao uliowataja wengine wapo mpaka leo na wanaimba lakini kila waiijaribu kukaa kwenye mainstream hola mambo yana buma
Tukiondoa hao malegend ambao tunao nitajie vipaji vipya vinavyotikisa kwa sasa?
Kiukweli Tz tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( bongo fleva).
Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za bongo, hizi hapa nyimbo zangu tano kali za bongo fleva naweza kusema ni za muda wote toka nimeijua bongo fleva.
1: Mb Dogg si ulinimbia
2: Albert mangwea she got a gwan
3 : jay mo feat ngwea kimya kimya
4: Ferooz ft professor jay starehe
5: professor jay feat juma nature zali la mentali.
Ali Kiba - UTU. Huo wimbo walahi ni mzuri sana, ata ukiwa unamuimbia mpenzi wako yaani raha sana aisee.