Nyimbo zilizobamba Afrika 2022

Nyimbo zilizobamba Afrika 2022

Chura

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,385
Reaction score
2,402
Nazungumzia magoma yaliyolitingisha bibaya sana bara la Africa kwa mwaka 2022, dude sio lazima liwe limeshuka 2022 lakini kwenye iwe harusi, Kipaimara, birthday hata club hukosi kulisikia masikioni mwako.

Zangu ni hizi;

1. Patoraking alongside Dimond- Kolokolo

2. Oh Ma lay- Godly

3. Asake - PBUY

4. Zuchu - Kwikwi

5. Lojay alongside Chris Brizzy - Monalissa remix

6. Black Diamond - Summer remix

7. Ameno

8. Fally Ipupa - Bloque

9. Vanny B alongside Chibu Dee - Nitongoze

10. The weekend alongside Arianna - Save your tears

11. Alongside Bieber - Peaches

ONGEZEA YAKO MDAU tuzipakue wandewa (NB: ziwe ngoma za kwenda sio za msiba).
 
1. Asake ft Burna boy- sungba
2. Harry styles- It was
3. Ameno
4. Pheelz ft davido- electricity
5. Fireboy- Bandana, Peru
 
Sina nia ya kuchafua uzi .. hiyo list ni KWA mujibu wa wewe siyo? Kama ndiyo sawa
 
1. Asake ft Burna boy- sungba
2. Harry styles- It was
3. Ameno
4. Pheelz ft davido- electricity
5. Fireboy- Bandana, Peru
Mm Asake sijui kwa nn sikuelewi kabisa naona anaimba kama kwaya
 
Sina nia ya kuchafua uzi .. hiyo list ni KWA mujibu wa wewe siyo? Kama ndiyo sawa
Mkali kama unajua kusoma kwa utulivu bila papara wala mawaa usingehoji aisee
 
1.Sugarcane
2.Sugar cane remix
3.Umlando.
4.Kulosa
5.Abo mvelo
6.Nakupenda-jay melody
7.Calm down-rema
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom