pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady
Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini
Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri
Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe