pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
- #21
Waache unafiki..wamepata utajir leo wanajifanya kukimbia..wajifunze kua na shukran..mimi nisingefuta..na kwanza ningewaambia kabisa ni kweli nimeinamishwa ili nipate utajiri..mbona hua wanaonesha harus za wanaume kwa wanaume hazarani au madem kwa madem..pumbav zao.Kina Burna boy wanazidi kufuta tweets zao wakiwa na P. Diddy