Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Dddduuuhhh nimechekaaaaa hatari, wallah kosa yote usikose hela ya bando tu, utakufa kwa stress 😂 😂Vilainishi 1000 Kuna watu walikuwa wanapewa mpaka Dolla million 50 wanakataa kufumuliwa Malinda na P Diddy