Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

1000220261.jpg
 
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini

Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri

Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
Chengine kinachonifurahisha kwa Wabongo unakuta mtu kapanga chumba kimoja na analala chini huko Kwa Mpalange, halafu unamkuta kijiweni amekomaa eti, "Diamond ana hela gani yule? Hana hela kabisa yule"! Ahahahahaha!!!
 
Mleta mada ndio yule dogo hua anaanzisha nyuzi za kujifanya tajiri na kuwatukana masikini,hata majibu yake kwa wachangiaji hayajabadilika,anabadili ID tu ila uandishi ni ule ule,
Chief Godlove @ChristopherPaul15 na sasa pesakilakitu
 
hzizinaitwaaje vileee
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-115415_Lite.jpg
    Screenshot_20240925-115415_Lite.jpg
    432.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240925-115407_Lite.jpg
    Screenshot_20240925-115407_Lite.jpg
    373.2 KB · Views: 4
hivi zaria alikuwa marekani ama alienda mwenyswe
 
Ndio ninatamani , pesa tu, mshindo mmoja bilioni 1 , nakuinamia unaweka kitu bao moja tu..pesa unatanguliza benk kwanza
Mkuu ujue ukifirwa unakuwa umepewa ulemavu wa maisha?
Huwezi acha huo mchezo ukishauanza na hizo pesa utakazopewa utazimaliza Kwa kulipa vidume wakufalambe puru
 
Mleta mada ndio yule dogo hua anaanzisha nyuzi za kujifanya tajiri na kuwatukana masikini,hata majibu yake kwa wachangiaji hayajabadilika,anabadili ID tu ila uandishi ni ule ule,
Chief Godlove @ChristopherPaul15 na sasa pesakilakitu
@Payge

Wand

Active

Je hii nimeambiwa hairuhusiwi humu kufananisha id moja na nyingine na adhabu yake ni ban.
 
Tafuteni hela mafukara nyie mnapata wap muda kuingia humu na kubishana
Nenda kaliwe choo wewe,au weka bei humu ili upate wakukutafuna,kwako hela si inathamani kuliko utu wako,weka bei watu wakupandie dau,

Tangazo lako limeeleweka ila hujaweka bei.
 
Back
Top Bottom