dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
mkuu kufilika sio jambo dogo kwa mtoto wa kiume...hata ukiwa na pesa vepe ukitiwa dude makatoni wewe na na gigy money ni sawa tuMimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady
Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini
Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri
Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe