Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini

Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri

Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
Unaposema kuwa kikubwa ni pesa tu... maana yake wewe uko tayari kufanya chochote mradi upate pesa...
Swali kwako: Hivi kama kinachosemwa kuwa kimetokea kwa hao wasanii kwa Diddy ni kweli. Je wewe ungekuwa tayari kuwa sodomised ili upate hiyo hela?
NB: unapojibu elewa kuwa umesha sema kuwa kikubwa ni pesa tu.
 
Mbona Konde hatumsemi vibaya? Mimi katika vijana naowakubali hustle zao ni KONDE ingawa si timu yake hata chembe ,kwa DAYAMAONDI tunamsema kwa tabia yake ya kuficha siri za diddy ,kapakwa mafuta Burna Boy ,kapakwa mafuta usher ,kapakwa mafuta wizzy kid ,kapakwa mafuta Meek Mills ,kapakwa mfuta Davido wametulia tuli ila tukisema kwamba DAYAMONDI kapakwa mafuta na diddy mnasema sisi ni hater tunamchukua kwa kuwa ni Bilionea ,sasa kati ya Burna na Dayamondi nani ana mkwanja mrefu?
Konde mbona ndio mjinga namba moja si huyo alinunua ma range rover ili kupata penzi kwa ile Papuchi angalieni mafanikio yao tu hayo mengine achaneni nayo...haya tukimsema pana kitu gani tunapata mkuu tuanzie hapo.
 
Kwahiyo na wewe unavyomsema Konde na sisi tuseme na wewe ni HATER? Unamchukia KONDE kwa kuwa ni Bilionea? Dayamondi na Konde wanasemwa kwa mautumbo yao tu na kama kuna mazuri watu vile vile watawasema vizuri ,Kitendo cha diddy kumuinamisha na kumpaka mafuta dayamondi hatuwezi kukaa kimya eti kwakuwa ni BILIONEA>
 
bongo hii mkuu kuna uchawi mwing sana ukifanikiwa , na uchawi huo asilimia 98 ni mafukara ndio sababu ..
Watanzania wanawachukia sana waliofanikiwa watawapa kesi zote na huyo dogo anachukiwa kwa sababu wanajua alikotoka angekua kafanikiwa na katoka Masaki wangekua kimya balaa maana wanawaogopa watoto wa masaki..
 
Naingiza milioni 2 hadi 2.5 kwa mwezi.
Sawa. Anglau wewe umekua mkweli, wewe hujapakwa mafuta baki humo kwenye vimilioni 2, ila daimond amepakwa, nyinyi wa milioni 2 kwa mwez mnakua na chuki nae kwasabab gan, sio kwamba huo ni ufukara mana umaskin hua unakuja na makandokando yake kama hivyo kuchukia matajiri, mtu ametoa nyuma unachukia hizo dalili mbaya sana za ukufukara , yan unaweza kua unapata vimiliion 2 kwa mwez ila bado ukawa na element za kifukara
 
Kwahiyo na wewe unavyomsema Konde na sisi tuseme na wewe ni HATER? Unamchukia KONDE kwa kuwa ni Bilionea? Dayamondi na Konde wanasemwa kwa mautumbo yao tu na kama kuna mazuri watu vile vile watawasema vizuri ,Kitendo cha diddy kumuinamisha na kumpaka mafuta dayamondi hatuwezi kukaa kimya eti kwakuwa ni BILIONEA>
Sina shida na hao wadogo mkuu wote wanangu sana..
 
Sawa. Anglau wewe umekua mkweli, wewe hujapakwa mafuta baki humo kwenye vimilioni 2, ila daimond amepakwa, nyinyi wa milioni 2 kwa mwez mnakua na chuki nae kwasabab gan, sio kwamba huo ni ufukara mana umaskin hua unakuja na makandokando yake kama hivyo kuchukia matajiri, mtu ametoa nyuma unachukia hizo dalili mbaya sana za ukufukara , yan unaweza kua unapata vimiliion 2 kwa mwez ila bado ukawa na element za kifukara
Hata ningekuwa siingizi hata 100 kwa mwezi ila ukweli lazima usemwe ,mshaurini boss wenu asirudie tena michezo ya SODOMA aache ,kashajijingea base ya Wasafi Media ,Wasafi Records ,Endorsements pepsi/Airtel/color paints etc aridhike na kipato chake ,mambo ya kutoa JICHO aache.
 
Mtu ana watoto kama mchanga bado mnamsema daah wabongo visa sana aisee na anabadili wanawake kama viatu..
 
Watanzania wanawachukia sana waliofanikiwa watawapa kesi zote na huyo dogo anachukiwa kwa sababu wanajua alikotoka angekua kafanikiwa na katoka Masaki wangekua kimya balaa maana wanawaogopa watoto wa masaki..
Wanamchukia kinoma mwamba, na asilimia 98 ni mafukara..mim nimemsapot sabab alifanya kila njia na kutafuta "konekshen" aondokane na ufukara mana alijua mazara ya ufukara, sasa kajipata, sasa naemsapot naambiwa na mimi ni upinde[emoji23] mafukara bwana...
 
Mtu ana watoto kama mchanga bado mnamsema daah wabongo visa sana aisee na anabadili wanawake kama viatu..
Nani alikwambia kwamba Ukipakwa Mafuta na diddy unakuwa hauwezi kuwa na watoto? Miaka ya late 90s na early 2000 kulikuwa na shoga Anti nani nimesahau jina kapigwa PIPE kinoma na alikuwa kama demu ila niliona youtube kwamba alikuja kuokoka na akaacha huo ushenzi akaja kuoa na ana watoto wawili kwa kipindi hicho wakati anahojiwa.
 
Nawazaga Sana hivi mikoondoo inawapa faida gani ?...Yani mtu anawapa mamilioni ya hela au tuzo kwa kubadilishana na Spika.
Hivi hizo hela zinarudije ?
 
Watanzania tupunguze roho mbaya na wivu kwa vijana wenzetu wanaopamba na kujitafutia maendeleo. Naamini Diamond anapambana kwa kazi zake za muziki, nikijana ambae ana uthubutu sana, kawatoa wasanii wengi wakali akiwemo na Kondo boy. Mi siamini kuwa Diamond kajipata kwa kuwa eti kaingiliwa na P Diddy, je nini nafasi ya p diddy katika kazi za Diamond, je ni maneja wake au ni producer wake?, Je Diamond yupo label ya P diddy "BAD BOYZ" jibu ni hakuna. Tusipende kutumia JF Kutweza utu wa mtu ambae hapa JF hawezi kujitetea. Pia kumbuka Diamond ana familia na watoto kama nanyi mlivyo na familia zenu. Watanzania wengi hawamini kuwa nasi tunaweza kuwa na masupastaa kama Nigeria na duniani uko, Hata Kanumba alipoanza kufanya kazi zake na wasanii wa nnje mlianza kumwita freemason. Badilikeni jamani kila mmoja atafanikiwa akiamini katika juhudi zake. One yes.
 
Back
Top Bottom