Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

Mi mwenyewe nawashangaa,, waafrika hatupendAni asee siunaona wanaomchafua zaidi yeye na p.didy ni blacks
 
Nani alikwambia kwamba Ukipakwa Mafuta na diddy unakuwa hauwezi kuwa na watoto? Miaka ya late 90s na early 2000 kulikuwa na shoga Anti nani nimesahau jina kapigwa PIPE kinoma na alikuwa kama demu ila niliona youtube kwamba alikuja kuokoka na akaacha huo ushenzi akaja kuoa na ana watoto wawili kwa kipindi hicho wakati anahojiwa.
Daah mnampakazia sana dogo ni huo utajiri wake au pana kitu kingine wazee..
 
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini

Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri

Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
"Privacy is power" People Cant destroy what they don't know

Kwa lugha yetu;

"Faragha ni nguvu" Watu Hawawezi kuharibu wasichokijua.

Kubali tu Kuna gharama kubwa,maisha yako kuyafanya ya watu wote.
Usikimbie matokeo ya kuacha mlango wazi wa maisha yako na mipango yako binafsi.
Kinacho mtokea sio watu kuwa na chuki, dhidi yake.

Issue ya Piddy inajadiliwa dunian kote;
Nigeria wana zungumza namna Wizkid alivyo kaa wiki nzima nyumbani kwake na siku aliotoka alikua mchovu.
 
[emoji23] tuache sisi na daimond platnumz tunaopenda mserereko, wewe fukara unaenda njia iliyonyooka umefanikisha nini kweny maisha zaid ya kunukaufukara hapo ulipo na zaid na umaskin wako unaenda kuhonga malaya huo ushoga mnaoupinga ndio hao wadada mnawala nyuma mna tofaut gani mbwa nyie.
Sikiliza wewe fukara mfirwaji embu tuma namba yako ya nikutumie hela ukafanyiwe operesheni wasafishe shahawa zilizojaa mkunduni mwako ndio zinakufanya usiwe na akili timamu .
Tuma namba yako sasahivi nikutumie unafikiria wite ni matahahira na mafukara kama wewe unayefikiria kujidhalilisha ili upate pesa
 
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini

Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri

Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
Yaani hapo usemapo wamuache kwa kuwa umaskini ni mbaya na aendelee hivyo bora mkwanja uingie ndo umeharibu kabisa. Jamaa si maskini kiasi cha kujidhalilisha kwa watu wa aina hivyo.
 
Watanzania tupunguze roho mbaya na wivu kwa vijana wenzetu wanaopamba na kujitafutia maendeleo. Naamini Diamond anapambana kwa kazi zake za muziki, nikijana ambae ana uthubutu sana, kawatoa wasanii wengi wakali akiwemo na Kondo boy. Mi siamini kuwa Diamond kajipata kwa kuwa eti kaingiliwa na P Diddy, je nini nafasi ya p diddy katika kazi za Diamond, je ni maneja wake au ni producer wake?, Je Diamond yupo label ya P diddy "BAD BOYZ" jibu ni hakuna. Tusipende kutumia JF Kutweza utu wa mtu ambae hapa JF hawezi kujitetea. Pia kumbuka Diamond ana familia na watoto kama nanyi mlivyo na familia zenu. Watanzania wengi hawamini kuwa nasi tunaweza kuwa na masupastaa kama Nigeria na duniani uko, Hata Kanumba alipoanza kufanya kazi zake na wasanii wa nnje mlianza kumwita freemason. Badilikeni jamani kila mmoja atafanikiwa akiamini katika juhudi zake. One yes.
Mwambie kabisa huyu mpumbavu anayekomalia kwamba diamond kapata hela baada ya kufirwaa na p did
 
Huyo mwandishi aliyekuwa anamhoji Diamond naye alikuwa anauliza nini mpaka akasema kuna mambo waliyafanya na hairuhusiwi kuonekana public?
 
Kijana anapambana sana lakini watz wanatamani hata leo atoweke duniani. lazima tukubali kuwa binadamu hatuwezi kuwa masikini wote, kadhali matajiri wote hilo jamba halipo duniani kote. Pia kila mmoja ana karama, kipawa chake ambacho ni zawadi tangu mimbani mwa *****. kwahiyo mi siwezi kuwa wewe. Ukijua hilo maisha yanakuwa rahisi wala huwezi kuwa na jerous. PEACE & LOVE.
 
Nabet......mleta mada ni mwanamke na kama sio mwanamke ni shoga na tena kama sio baba levo basi alistote au mwijaku kuendelea kubishana nae ni kupoteza muda wadau tujifunze kuzikimbia mada kama hizi zinazoletwa na maibilisi kama hawa naitimisha kwamba wewe sitosoma andiko lako lolote maana inaonekana tabia zako umelithi kwa wazazi wako k.......ma wee.
 
Sikiliza wewe fukara mfirwaji embu tuma namba yako ya nikutumie hela ukafanyiwe operesheni wasafishe shahawa zilizojaa mkunduni mwako ndio zinakufanya usiwe na akili timamu .
Tuma namba yako sasahivi nikutumie unafikiria wite ni matahahira na mafukara kama wewe unayefikiria kujidhalilisha ili upate pesa
Tulia fukara mnuka mavi wewe. Tafuta pesa.
 
Back
Top Bottom