Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

Wewe ni kichwa maji tabularasa.

Unadhani kila aliye hapa JF ni maskini unafanya generalization zisizo na mantiki kabisa.

Wewe kama umeshindwa kutafuta hela kwa njia halali usidhani kwamba ukifukuliwa mtaro ndio utakuwa tajiri.

Utavuliwa ubingwa na kuachwa na shimo na bado utabaki na umaskini wako.

Hakuna maisha rahisi hivyo kwamba eti uwe shoga uwe tajiri, never.

Utapewa pesa ya kukuhadaa tu.

Yaani nimemshangaa sana huyu bwana mdogo, sio kweli kwamba fedha na utajiri unapatikana kwa njia ya kufirwa au ushetani amenisikitisha sana hawa ndio wanasababisha ushoga unaongezeka.
Huyu bwana mdogo anatakiwa aelewe fedha na utajiri mzuri na wafuraha inapatikana kwa njia halali tu na sivyo anavyotaka kuhadaa vijana kwa bandiko na komenti zake za hovyo.
Mbona watu wengi tuna fedha lakini hatujazipata kwa njia haramu?
Huyu bwana mdogo atakuwa mvivu na anayependa mserereko
 
Acha zako , wacha tuuze roho kwa shetan tupate utajiri .inakuuma nini , unataka tuwe maskin kama wewe

Unajuaje mimi maskini? Maskini wa nini? Wewe uza mfugo ili kesho ukajining'inize 😂 😂 😂

Unajua ni watu maskini wanaoamini hawako kamili mpaka wawe na mabilioni bank. Halafu sote tunaishia kula sawa karibu kila kitu, mpaka kunya. Tofauti ni moja tu...mwingine bikra mwingine hana bikra😂😂😂.

Anatembea na majuto mjukuu. Hakai sawa tena mpaka alewe. Anaishi ili siku ziende na sio kufurahia maisha. That is the price poor people, who think by selling their souls to the devil will make them strong, pay. majuto majuto mpaka kaburini
 
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie, hata kama aliwekewa vilainishi, shida mkwanja uingie tu, au hata kama aliinama au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzang inawauma nini

Nimejua bongo kwel kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajir

Bora pesa tu, uwekewe kilainishi usiwekewe alimradi pesa inaingia kama mvua.

Dayamondi aka Mpakwa mafuta.
 
Kwahyo diamond hana clean sheet sio?

Ila P Diddy hatari sn.😁😁
 
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini

Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri

Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
 
Attachments

Yaani nimemshangaa sana huyu bwana mdogo, sio kweli kwamba fedha na utajiri unapatikana kwa njia ya kufirwa au ushetani amenisikitisha sana hawa ndio wanasababisha ushoga unaongezeka.
Huyu bwana mdogo anatakiwa aelewe fedha na utajiri mzuri na wafuraha inapatikana kwa njia halali tu na sivyo anavyotaka kuhadaa vijana kwa bandiko na komenti zake za hovyo.
Mbona watu wengi tuna fedha lakini hatujazipata kwa njia haramu?
Huyu bwana mdogo atakuwa mvivu na anayependa mserereko
Kabisa mkuu.
 
Hahaha. Ila Wabongo wanafiki sana hii gear uliyokuja nayo kumnanga Bw Naseeb Nyange imekataa kitaalamu sana.
 
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady

Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini

Nimejua bongo kweli kuna husda na chuki mbaya sana kwa matajiri

Kikubwa ni pesa tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe
wewe inaelekea unaliwa KIBOGA!!!,,,so unaona KIBOGA mwenzako anasakamwa na wewe roho inakuuma!!
 
Yaani nimemshangaa sana huyu bwana mdogo, sio kweli kwamba fedha na utajiri unapatikana kwa njia ya kufirwa au ushetani amenisikitisha sana hawa ndio wanasababisha ushoga unaongezeka.
Huyu bwana mdogo anatakiwa aelewe fedha na utajiri mzuri na wafuraha inapatikana kwa njia halali tu na sivyo anavyotaka kuhadaa vijana kwa bandiko na komenti zake za hovyo.
Mbona watu wengi tuna fedha lakini hatujazipata kwa njia haramu?
Huyu bwana mdogo atakuwa mvivu na anayependa mserereko
[emoji23] tuache sisi na daimond platnumz tunaopenda mserereko, wewe fukara unaenda njia iliyonyooka umefanikisha nini kweny maisha zaid ya kunukaufukara hapo ulipo na zaid na umaskin wako unaenda kuhonga malaya huo ushoga mnaoupinga ndio hao wadada mnawala nyuma mna tofaut gani mbwa nyie.
 
Mimi nafurahia mafanikio ya wadogo zetu Watanzania ila wapo ndugu zetu wao wanachukia sana mafanikio ya Wadogo watawapa sifa zote mbaya ili kufurahisha nafsi zao..
 
Back
Top Bottom