Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Mpumbavu mkubwa. Nani kakwambia kufunga kwako kunatuhusu? Waislamu mnajikutaga dunia ni ya kwenu. Alafu kwanza hamjui kufunga. Funga ya matangazo. Mnatafuta sifa tu kwa kushinda njaa mchana na kubugia usiku. Wala hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuwaza muda iftar. Kwaresma watu kibao wamefunga na hawaongei. Mabwege sana nyie.
 
Ni jambo la wazi kuwa kula mchana ni rukhsa kwa wale ambao funga haiwahusu. Tatizo lako uonapo watu wakila, njaa yako inakupelekea utamani kula muda huo. Imarisha funga yako kwa kuepuka tamaa ya tumbo lako.
 
Uhuru wa kuabudu, kila mtu aishi kulingana na imani yake kikubwa asivunje sheria za Nchi.

Kula au kutokula ni swala binafsi kulingana na mapokeo na imani ya mtu.

Kufunga ni ibada, Simama katika ibada yako bila kuangalia mwingine na ibada yake
 
Pambana na nafsi yoko na imani yako , ulizaliwa huna nguo utarudi huna nguo na kwa kaburi lako mwenyewe tusipangiane au lazimisha mtu kuishi kwa imani wataka wewe
 
Pumbavu kabisa umesikia kila mtu muislam .... kwanza hamnaga elimu kaaa kimya form failures wakubwa nyie
 
Mbona qur,aan imeweka wazi wanatakiwa kufunga,ukiona mtu anakula mchana tena hadharani huyo funga amuhusu,wala hakuna aya iliokataza watu kula wasiohusika na funga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…