Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Kwanini unafikiri ivyo kiongozi? kipi kibaya kimesemwa hapa?
Haahaa. naheshim mawazo yako kiongoziKama ujawai pigwa ban ww sio mzoefu na jf kabisa ukitaka kujua jf tamu upigwe ban
hao wamba ndo vijogoo wa bani au?
Eti wakuu mbona sie wengine tunasikia tu hayo mambo ya kulishana bani?
Nyie wenzetu huwa mnaandika vitu gani humu?
Sasa jichanganye na hapa ule bani tena🤣
Mara nyingi wanaopigwa ban n wale ambao wana mawazo chanya, sasa wakikutana na wenye mawazo hasi inakuwa mtiti hvy kupelekea kushtakiwa na hao wenye mawazo hasi na kupewa ban na mods wenye mawazo hasi 😎
Kabisahao wamba ndo vijogoo wa bani au?
Huyu ajui utamu wa banMara nyingi wanaopigwa ban n wale ambao wana mawazo chanya, sasa wakikutana na wenye mawazo hasi inakuwa mtiti hvy kupelekea kushtakiwa na hao wenye mawazo hasi na kupewa ban na mods wenye mawazo hasi 😎
Hee🙆♂️kumbe hata uku kuna mambo ya hasi na chanyaMara nyingi wanaopigwa ban n wale ambao wana mawazo chanya, sasa wakikutana na wenye mawazo hasi inakuwa mtiti hvy kupelekea kushtakiwa na hao wenye mawazo hasi na kupewa ban na mods wenye mawazo hasi 😎