Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

BAN.
hivi hii kitu ni ya kuogopa? Watu wamekula Ban za week, za mwezi, za miezi, ikafikia hatua had modes wenyewe waka surrender.

Konki wa BAN ni mie hapa, JF ilifikia hatua kuanzisha uzi wa kupiga kura, wanaotaka nibaki, na wengine niondoke. kura zikapigwa, wakashinda waliopiga niondoke, nikaondoshwa mazima. Dakikaa za jiooooni yaan baadae sana, Nikarudishwa jamvini.

Kubwa zaidi, nikapata na Zawadi kutoka JF HQ.
JF idumu milele.
🙌🙌 kiongozi umeshindikana
sasa muwe na baraza lenu nawew uwe mshauri mwandamizi wa baraza🤣
 
Back
Top Bottom