Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Eti wakuu mbona sie wengine tunasikia tu hayo mambo ya kulishana bani?

Nyie wenzetu huwa mnaandika vitu gani humu?

Sasa jichanganye na hapa ule bani tena🤣
Hebu muulize Chizi maarifa ama Zero IQ?
 
nataka kunyonya macho mtu flani umu👀
 
Hivi unajuaje kama Fulani ndiyo kakuchongea,. Mie mbona sijawahi kujua nani kanisemea nipigwe ban
Alafu utakua ndo wew🤣🤣 yule si tuliraruana vibaya aisee dk mbili mbele mm nmepigw pin lakin yeye hawajamgusa
 
Ban n kama kifungashio Cha juice ya ukwaju unapo nunua pizza mkuu ivyo usiiogope👁️
 
Unataka ban ni rahisi andika tu simba akifungwa na muarabu nipigwe ban ya miezi 6
 
kwa hapa nilpofika,...ninachojua ban ni maamuzi ya moderators tu ,....akiamua ule ban, unakula ban hata kwa kuperuzi tu nyuzi za watu bila kukomenti chochote,....🚮🚮😡
🤔🤔😇hii yako mkuu bado inafikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…