Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Imani ya Tomaso, yeye aliweza kutomasa, wewe utaweza ukiletewa huyu nyoka karibu?tomaso
pamoja na picha na video kutoka youtube hakuna utafiti ambao kiuhalisia unatambulika ulishafanyika wa hawa Anaconda na ukathibitishwa kuwa wapo kweli maana huyo aliyezua gumzo lazima iwe gumzo kweli kuthibitisha hilo na kama ni kweli pia mbinu za kumuua au kumkamata bado italeta utata mwingine.
Nimejaribu kufuatilia Google na hii wanasema
"" The Wildlife Conservation Society has since the early 20th century, offered a large cash reward (currently US$50,000) for live delivery of any snake of 9 metres (30 ft) or more in length, but the prize has never been claimed, despite the numerous sightings of giant anacondas""
Imani ya Tomaso, yeye aliweza kutomasa, wewe utaweza ukiletewa huyu nyoka karibu?
watu wanavyopenda pesa wasingeziacha hizo dollarpamoja na picha na video kutoka youtube hakuna utafiti ambao kiuhalisia unatambulika ulishafanyika wa hawa Anaconda na ukathibitishwa kuwa wapo kweli maana huyo aliyezua gumzo lazima iwe gumzo kweli kuthibitisha hilo na kama ni kweli pia mbinu za kumuua au kumkamata bado italeta utata mwingine.
Nimejaribu kufuatilia Google na hii wanasema
"" The Wildlife Conservation Society has since the early 20th century, offered a large cash reward (currently US$50,000) for live delivery of any snake of 9 metres (30 ft) or more in length, but the prize has never been claimed, despite the numerous sightings of giant anacondas""
MziziMkavu we need independent verification isijiwe kuwa ni photoshop..............
wasiwasi wako ni sahihi mkuu..................its fake,fake,fake.............hak una anaconda kwenye maji chumvi bana.japo sipingi uwezekano wa kuwepo 'dude' kubwa kama hilo,MUNGU nae 'mtundu' sana kwenye kuumba umba haya makitu...we ona tu alivyoniumba mimi!