Nyoka aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Nyoka aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Rubuye123 uko wapi mbona sikuoni alivyokuumba maana hata kwenye hiyo avatar yako haupo............

hahahahaha....kwenye avatar ni tu-miguu twa kutembelea ambato mwenyezi Mungu anakaribia kunipa kaka..........ila mimi niko kama rubuye123 vilevile!kimo na umbo kama luis nani,sura kama mbo mpenza,shabiki mkubwa wa united na lunyasi,kaka!Mungu mtundu sana kwenye kuumba hukujiulize dissarriuses waliumbwaje umbwaje!
 
Mungu ni mtukufu kabisa...........Rubuye123 na ninambariki sasa na hata milele amina
 
Mkuu Mzizi Mkavu njoo utufundise basi hii habari nimeona kama ninadanganywa hivi na hao madokta wanasayansi du.
 
aiseee babayangu hao madrt waje na hapa bongo waje kuiuwa ccm hasa hasa huyo mpiga mikuki
 
Anaconda anakuwa mkubwa ila hafikii ukubwa huo na Anaconda anapatikana Marekani ya kusini na anaishi kwenye maji baridi sio baharini. So hiyo picha si Nyoka huyo.
 
Back
Top Bottom