Rubuye123 uko wapi mbona sikuoni alivyokuumba maana hata kwenye hiyo avatar yako haupo............
hahahahaha....kwenye avatar ni tu-miguu twa kutembelea ambato mwenyezi Mungu anakaribia kunipa kaka..........ila mimi niko kama rubuye123 vilevile!kimo na umbo kama luis nani,sura kama mbo mpenza,shabiki mkubwa wa united na lunyasi,kaka!Mungu mtundu sana kwenye kuumba hukujiulize dissarriuses waliumbwaje umbwaje!