Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Huyu anafaa kuwa pet snake anavutia sana,unamuweka kwenye kikabati cha kioo anakua kivutio sebuleni..btw niliacha kuogopa nyoka baada ya kungalia kile kipindi cha "Snake in the city" National geographic channel..kumbe ni viumbe hawana tabu na mtu..🤣
Wanyama wa porini sio wa kuwaamini.

Mimi napendaga zile clips za wale waliowafuga wanyama wa porini kwa muda mrefu na wanavyogeukwa na haohao wanyama wao.

Kuna jamaa aliliwa mkono na mamba wake. Kuna mwana aling'atwa kichwa na Simba. Mwingine aling'atwa na nyoka aliyekuwa anamfuga akafa. Hiyo ni mifano michache tu

Hao Paka na Mbwa wenyewe miyeyusho anaweza akakugeuka mpaka ukashangaa, sembuse hivi viumbe vilivyoumbwa viishi porini
 
Back
Top Bottom