Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Wanyama wa porini sio wa kuwaamini.

Mimi napendaga zile clips za wale waliowafuga wanyama wa porini kwa muda mrefu na wanavyogeukwa na haohao wanyama wao.

Kuna jamaa aliliwa mkono na mamba wake. Kuna mwana aling'atwa kichwa na Simba. Mwingine aling'atwa na nyoka aliyekuwa anamfuga akafa. Hiyo ni mifano michache tu

Hao Paka na Mbwa wenyewe miyeyusho anaweza akakugeuka mpaka ukashangaa, sembuse hivi viumbe vilivyoumbwa viishi porini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…