4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.
Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.
Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini
300×2=600
Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.
Hivyo ukichukua
100+600=700
Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100
Hivyo chukua 1
100+700=800
Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200
Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .
Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.