Nyomi katika mikutano ya mwenyekiti CCM, robo 3 ni watu wake katika msafara. Hesabu hii hapa



Huu ni uongo 100%
 
Rais kusifuwa kwa idadi ya wahudhuriaji wa mikutano yenye uhamasishaji wa kiwango cha kitaifa ni udhaifu mkubwa wa kiuongozi.Ni sawa na kusema CDM wanapokea RUSHWA bila uthibitisho ila mtoa RUSHWA hatakiwi au halaumiwi na wala hakanushi au hashtaki wanaomtuhumu.
Uongozi wa Taifa haitakiwi kutegemea apendacho Kiongozi bali wanaoongozwa na but ndiyo Mkataba.
Tuandike miongozo yetu katika kitabu chetu yaani Katiba,maana Wahenga wametuasa "mali bila Daftari,...."
 
Mkuu kwa mikutano ile ya mama hata watu 800 hawafiki. Kwa magari yale 150 sawa na watu 300 plus hao uliosema anajikuta anahutubia watu wale wale mikoa yote anatembea nao hao hao.
Halafu bado hawamwelewi naye hajawaelewa kwa takriban miaka minne sasa.Ccm wanajiandaa upepo wenyewe(Pampu inayojijaza upepo) wakitarajia matokeo chama.
Wakipokea ndege,wanapishana,wakizindua miradi nk watu wale wale na hotuba/takwimu zile zile kila pahala.
Watanganyika tujiongeze,hawa Watawala hawana jipya na wametepeta kitambo.
Tuandike Katiba yetu na ku-renovate Taifa letu.
 
Sijui hawakereki na hiyo hali au vipi
 
Oyaa, ukweli ni kwamba, Nchi hiii Ndani ya CCM anayekubalika ni MAKONDA.



Uliona Samia kaingia Wilaya Fulani,, wewe jua kwamba ,MA Bus yamesomba watu usiku kucha kutoka Wilaya mbalimbali.


SAMIA SULUHU HANA HUO MVUTO, HANAAA!! NA HAO WANAOSOMBWA NI WANA CCM.
 
Mnyonge mnyongeni mumeona hiyo Nyomi ya Sumbawanga?!

Sijui anaogopa nini Uchaguzi uwe HURU na wa HAKI kwakweli sijui.

Au ni mazoea tu ya kuiba Kula.
 
ni kweli
 
Mimi napinga.
Msafara wa rais ukiwa na magari mengi hayazidi hamsini.
 
Jumlisha wehu wote na matahira wa eneo husika tuchukulie hesabu ya chini halmashauri ina vichaa na matahira 100, ukiplus unapata 1000+100=1100
 
Waafrika ni watu dhaifu sana hasa kwenye kutumia akili. Je, ni mazingira, asili au nini hasa kinatufanya tuwe watu wa hovyo namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…