KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
๐ก๐ฌ๐ข๐ ๐ ๐๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐จ๐๐๐ก๐๐ (๐ก๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข) ๐๐จ๐ ๐๐๐๐ ๐ฅ๐๐๐ฆ ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐
๐๐๐ข๐ช๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐๐ ๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐๐ ๐ฉ๐ค๐๐ 29 ๐๐๐ฃ๐ ๐ ๐๐ฏ๐ช๐๐ฏ๐, ๐ ๐ช๐ง๐ ๐ฏ๐ค๐ฉ๐ ๐ฏ๐ ๐ฃ๐๐๐ฎ๐ค ๐ฃ๐ ๐ฏ๐๐ ๐.
Sehemu ya Wananchi wa Nyororo Wilayani Mufindi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi hao wamekaza nyororo kuhakikisha hakuna baya litakalompata Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป huku wakipunga mikono kwa shangwe na vigeregere wakisema kwa kuali moja kuwa ๐๐๐ข๐ ๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฉ๐ช ๐จ๐ค๐ฉ๐, ๐๐ ๐ฉ๐ค๐๐ 29 ๐๐ช๐ฃ๐ ๐ ๐๐ฏ๐ช๐๐ฏ๐"
Akisalimiana na kuzungumza na wananchi hao, Rais Dkt. Samia amewashukuru kwa kujitokeza kwao na kunadi sera za CCM na ahadi zake ikiwa ni pamoja na kuomba kura.