Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Kila lakheri liverpool
I have a dream.
I have a dream.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Kazi ipo naona liver njia kama nyeupe hv
Njia nyembamba ....?Madrid msimu huu inapita kwenye njia nyembamba sana
Kumbe eeeeh. Mimi nilijua msimu wa 2015/16 walitinga nusu fainali na kucheza na Real Madrid. Gemu ya home kwao wakatoka suluhu, ila wakapigwa goli moja ugenini. Ama UCL nayoijua mimi ni tofauti na unayoijua wewe mkuu barafuyamotoila hawajui kuwa mancity haijawahi hata fika nusu fainali ya uefa champions league.
Yawezekana nimesahau kutokana na rekodi yao mbovu ulaya.Kumbe eeeeh. Mimi nilijua msimu wa 2015/16 walitinga nusu fainali na kucheza na Real Madrid. Gemu ya home kwao wakatoka suluhu, ila wakapigwa goli moja ugenini. Ama UCL nayoijua mimi ni tofauti na unayoijua wewe mkuu barafuyamoto
Faida kubwa huwa kwa yule ambaye anamalizia gemu nyumbani.Timu Zote Zinazoanza Home Katika First Leg (Liverpool, Bayern, Arsenal and Marseille) Ndiyo Zitakazocheza Final.
Kwahiyo Finals Zitakuwa Hivi.
1) Bayern v/s Liverpool ([HASHTAG]#UCL[/HASHTAG])
2) Arsenal v/s Marseille ([HASHTAG]#UEL[/HASHTAG])
KAMA KUNA ANAEBISHA BASI NAMUOMBA AHIFADHI HII POST.
NOTE: USINIBISHE SASAHIVI BALI SUBIRI BAADA YA SEMI FINAL KUMALIZIKA NDIYO UJE NA HOJA.
Acha chuki.. chambua mpira acha mapenz.. ulitegemea roma kumtoa barcelona.. ulitegemea juve kushinda goli 3 bernabeu.. ulitegeme chelsea achukue kombe mbele yavtimu bora enz hizo bayern wakay chelsea alkuwa wa 6 kwa ligi.. ulitegemea Liverpool kuchukua ucl mbele ya ac milan aliyekuwa mbele goli 3.. mpira ni.mchezo wa mbinu.. mbinu zako zikiwin against mpinzan wako unajipigia tu, ndo maan man u amewah kumla arsenal goli 8.. na huwez kuidharau man city utakuwa hujui sokaWaingereza na mashabiki wa liver wanaamini Mancity ni timu bora kabisa duniani kwa sasa hivyo kuitoa kwa goli za kutosha basi kunawapa wao uwezo wa kumfunga yeyote ila hawajui kuwa mancity haijawahi hata fika nusu fainali ya uefa champions league.
Hivi hata mchezaji mmoja mmoja, unawezaje walinganisha na kina Ronaldo, Modric, Casemiro, Marcelo, Verane, etc na kina Salah, Mane, Firmino, etc ambao hata hawajashinda vitu.
Napenda wakutane na Real fainali wapewe somo, tena inaweza kuwa fainali moja ya one sided sana!!
Umeanza kushabikia mpira msimu uliopita, sio kosa lako.Acha chuki.. chambua mpira acha mapenz.. ulitegemea roma kumtoa barcelona.. ulitegemea juve kushinda goli 3 bernabeu.. ulitegeme chelsea achukue kombe mbele yavtimu bora enz hizo bayern wakay chelsea alkuwa wa 6 kwa ligi.. ulitegemea Liverpool kuchukua ucl mbele ya ac milan aliyekuwa mbele goli 3.. mpira ni.mchezo wa mbinu.. mbinu zako zikiwin against mpinzan wako unajipigia tu, ndo maan man u amewah kumla arsenal goli 8.. na huwez kuidharau man city utakuwa hujui soka
"Hutaki acha" always ni kauli za watu wadhaifu..eti nimeanza kushabikia soka msimu uliopita.... hahahahahahaUmeanza kushabikia mpira msimu uliopita, sio kosa lako.
Siidharau Mancity, ila rekodi HAZIDANGANYI, ulaya ni wachovu na pia rekodi hazidanganyi, REAL NDIO KINGS OF EUROPE, hutaki acha!!
Yani nikishaona timu inamchezaji anapenda penda sifa huwa siikubali hata kidogo,,madrid akiondoka ronaldo tu sina shida nao
Kwa style ile mutabebaMadrid tushabeba hii.
Bet hiyo....lakini Liver anaanzia home siyo away kama hiyo.
Kwanza fainali wameshaingia hao Liverpool. Tusubiri tuone kwanza mtanange. Amini nakwambia hamna mechi ngumu kama ya Liverpool na Roma. Madrid anaonekanaga anamechi ngumu ila utashangaa mechi inakua nyepesi hadi watu wataanza kutukana humu jikwaani.Waingereza na mashabiki wa liver wanaamini Mancity ni timu bora kabisa duniani kwa sasa hivyo kuitoa kwa goli za kutosha basi kunawapa wao uwezo wa kumfunga yeyote ila hawajui kuwa mancity haijawahi hata fika nusu fainali ya uefa champions league.
Hivi hata mchezaji mmoja mmoja, unawezaje walinganisha na kina Ronaldo, Modric, Casemiro, Marcelo, Verane, etc na kina Salah, Mane, Firmino, etc ambao hata hawajashinda vitu.
Napenda wakutane na Real fainali wapewe somo, tena inaweza kuwa fainali moja ya one sided sana!!
Kwa style ile mutabeba