barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ukiambiwa kuwa wao Liver hawakutangaza ila 'walijua' utakubali??hiyo story nilisoma kabla hata ya hiyo draw yenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiambiwa kuwa wao Liver hawakutangaza ila 'walijua' utakubali??hiyo story nilisoma kabla hata ya hiyo draw yenyewe!
Ukiambiwa kuwa wao Liver hawakutangaza ila 'walijua' utakubali??
Binafsi hainiaminishi kuwa mechi zinepangwa, labda hao ni wazee wa kubeti tu.umeisoma hiyo "story"?![]()
umeona imeandikwa lini?
Binafsi hainiaminishi kuwa mechi zinepangwa, labda hao ni wazee wa kubeti tu.
Bet hiyo....lakini Liver anaanzia home siyo away kama hiyo.umeisoma hiyo "story"?![]()
umeona imeandikwa lini?
Nami napenda Liver awavae MadridLeo kunafanyika droo ya michuano ya klabu bigwa Ulaya na Michuano ya Europa league. Droo hii kufanyika Nyon, Uswizi
Droo ya Europa League inatarajiwa kufanyia saa 13:00 mchana wa leo kwa muda wa Tanzania(12:00 CAT) na (10:00 GMT)
Droo ya UEFA inatarajiwa kuanza saa 14:00 mchana wa leo kwa saa za Tanzania(13:00 CAT) na (11:00 GMT)
Timu zilizopo UEFA zinazosubiri kujua zitacheza na nani ni Liverpool(Uingereza), AS Roma(Italia), Real Madrid(Uhispani) na Bayern Munich(Ujerumani)
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya UEFA ligi
Michezo hii ya nusu fainali itafanyika mnamo Aprili 24/25 na Mei 1/2. Fainali itafanyika Mei 26 katika uwanja wa NSC Olimpiyskyi, Kyiv
- Bayern Munich(Ujerumani) Vs Real Madrid(Uhispani)
- Liverpool(Uingereza) Vs S Roma(Italia)
==
Timu zilizofika hatua ya nusu fainali ya EUROPA league ni Salzburg(Austria), Marseille(Ufaransa), Atlético de Madrid(Uhispania) na Arsenal(Uingereza)
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya Europa ligi
Michezo hii ya nusu fainali itafanyika mnamo Aprili 26 na Mei 03. Fainali itafanyika Mei 16 katika uwanja wa Stade de Lyon, Lyon-Ufaransa
- Marseille(Ufaransa) Vs Salzburg(Austria)
- Arsenal(Uingereza) Vs Atlético de Madrid(Uhispania)
My take:
Natamani Liverpool akutane na Real Madrid, Arsenal apewe Atletico
Bet hiyo....lakini Liver anaanzia home siyo away kama hiyo.
Nitajie waliofika nusu fainali msimu uliopita wa club bingwa.Waingereza na mashabiki wa liver wanaamini Mancity ni timu bora kabisa duniani kwa sasa hivyo kuitoa kwa goli za kutosha basi kunawapa wao uwezo wa kumfunga yeyote ila hawajui kuwa mancity haijawahi hata fika nusu fainali ya uefa champions league.
Hivi hata mchezaji mmoja mmoja, unawezaje walinganisha na kina Ronaldo, Modric, Casemiro, Marcelo, Verane, etc na kina Salah, Mane, Firmino, etc ambao hata hawajashinda vitu.
Napenda wakutane na Real fainali wapewe somo, tena inaweza kuwa fainali moja ya one sided sana!!
My take:
Natamani Liverpool akutane na Real Madrid, Arsenal apewe Atletico
Real Madrid Vs Atletico MadridNitajie waliofika nusu fainali msimu uliopita wa club bingwa.
Bingwa weweHivi bingwa wa ulaya na bingwa wa uingereza nani bingwa sana
Ok uko sawa, nilisahau kidogo. Ila msimu wa 2015/16 semi final man city aliingia na alipangwa na real madrid, akatolewa kwa gili moja.Real Madrid Vs Atletico Madrid
Juventus Vs Monaco
Ok.Ok uko sawa, nilisahau kidogo. Ila msimu wa 2015/16 semi final man city aliingia na alipangwa na real madrid, akatolewa kwa gili moja.
Sasa unaposema kuwa man city hawajawai fika nusu fainali ya ucl huwa napata mashaka sana na statement yako
April 24 na 25 ni UEFA
April 26 na 27 ni EUROPA.
May 1 na 2 UEFA(marudiano)
May 3 na 4 EUROPA(marudiano)