Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Champions League semi-finals: Liverpool v Roma, Bayern Munich v Real Madrid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa sawa kabisa MkuuTubet hapa hapa. Nami napanga kama huyu:
Liver vs Roma
Bayern vs Madrid
Ila bado anatoboa, uefa ndio 'tatizo'. Wanaijenga sana madrid kwa kuopambanisha na mabingwa wengi wa nchi zingine. Inafika mahali wanazoea kupambana na walio juu kabisa.madrid anapangiwa mifupa kinyama
Asee we hufai kufariji wagonjwaarsenal kwaheri
Sema nani kaonewa na nani kapendelewa..mimi ninavyofahamu timu yoyote inayofika hatua ya robo fainal sio ya kuibeza, cha msingi kila timu ipambane ifike hatua inayofuata..huku kulialia kuwa furan kapangiwa kibonde ni kuzishusha hizo timu nyingineawajamaa wanaopanga awajawai kutenda haki katka droo zao ***** zao pamoja na perez
Nadhan unavyosema mifupa unamaanisha anapangiwa timu ngumu..ila kuna wengine humu humu kwenye uzi huu wanatafautiana na wewe wanaona kama Madrid atapendelewa na kupangwa na kibonde ili azid kusonga mbele kitu ambacho sio sahihi..kila timu iliyobaki ni bora kwa msimu huu hakuna ya kuibeza..madrid anapangiwa mifupa kinyama
April 24 na 25 ni UEFALini game hizo zinaanza??