Nyongeza ya mshahara 8567 makato ya Benki 9500 ama kweli wadanganyika mmepigwa

Nyongeza ya mshahara 8567 makato ya Benki 9500 ama kweli wadanganyika mmepigwa

images - 2022-08-18T093512.687.jpeg
 
SI kwamba watu hawaoni au hawajui kiini macho walichofanyiwa ila Hawana tu cha kufanya coz Kila njia imewekewa vizuizi kuanzia kwa Tucta, mahakama, bunge nk.
 
Jamani wengine hatuelewi hata nchi inakwendaje.. emu tuambieni kwa mapana kumtokea nini huko mabenk?

Lenie kaa tu huko, na nchi imeuzwa
Mambo ya serikali haya didi ake acha tu, wana danganya toto nyingi sana, ukija kwenye utekelezaji utachoka. Labda uwe na cheo cheo ndio utakula mema ya nchi
 
Mambo ya serikali haya didi ake acha tu, wana danganya toto nyingi sana, ukija kwenye utekelezaji utachoka. Labda uwe na cheo cheo ndio utakula mema ya nchi
Hayo hayanihusu bana 🤣
Nataka kujua bank kumefanyaje

Ili kama nachonga kibubu nijue 😂😂😂
 
😂😂😂 ndio watuambie hawa waangalia taarifa ya habari
Nenda bank kafanye muamala utajua, ukiona hamna mabadiliko basi bank yako haijapandisha tozo
 
ukimwona mastermind wa vikokotoleo na tozo mpe hiii
 
Hivi kweli maisha ya huko Bongo yalivyo tait unamuongezea mshahara mtumishi Tsh 8567 then bank wanakula makato ya Tsh 9500 kweli jamani, mtafika mbinguni mmechoka sana ndugu zangu
Hata wakifika watakula viti vyote vimeshakaliwa, mikeka yote imeshakaliwa, wataambulia kukataa mchangani kuleeeeeeeee, hata sauti hawataisikia ya master of ceremony
 
Back
Top Bottom