Nyongeza ya mshahara 8567 makato ya Benki 9500 ama kweli wadanganyika mmepigwa

Nyongeza ya mshahara 8567 makato ya Benki 9500 ama kweli wadanganyika mmepigwa

Hivi kweli maisha ya huko Bongo yalivyo tait unamuongezea mshahara mtumishi Tsh 8567 then bank wanakula makato ya Tsh 9500 kweli jamani, mtafika mbinguni mmechoka sana ndugu zangu
Aliyeongezewa halalamiki ila ambae hana hata mia ndio analalamikia salary 😜😜
 
Mkuu niache tu,maisha magumu wacha nipunguze stress.
Sio siri wanatuumiza sana kwa makusudi bila kujali kwa kuwa wako meza kuu wanakula keki ya taifa na glass ya mvinyo...inaumiza,hawajali.

Wameshindwa kubuni vyanzo vipya vya mapato zaidi ya kumkandamiza mwananchi wa kipato cha chini.

Uchaguzi ukikaribia watatoa "tozo" zote na sisi tutashangilia kwa vifijo na vigelegele.
 
Back
Top Bottom