The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Aug 18, 2022 #21 Janja weed said: Hivi kweli maisha ya huko Bongo yalivyo tait unamuongezea mshahara mtumishi Tsh 8567 then bank wanakula makato ya Tsh 9500 kweli jamani, mtafika mbinguni mmechoka sana ndugu zangu Click to expand... Aliyeongezewa halalamiki ila ambae hana hata mia ndio analalamikia salary ππ
Janja weed said: Hivi kweli maisha ya huko Bongo yalivyo tait unamuongezea mshahara mtumishi Tsh 8567 then bank wanakula makato ya Tsh 9500 kweli jamani, mtafika mbinguni mmechoka sana ndugu zangu Click to expand... Aliyeongezewa halalamiki ila ambae hana hata mia ndio analalamikia salary ππ
richie ze best JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 600 Reaction score 1,023 Aug 18, 2022 #22 RRONDO said: Sukuma ganga wanakomeshwa kweli kweli! Click to expand... Kaka naona umeamua kuandika pumba, Huu msiba wa sisi wote pangu pakavu.
RRONDO said: Sukuma ganga wanakomeshwa kweli kweli! Click to expand... Kaka naona umeamua kuandika pumba, Huu msiba wa sisi wote pangu pakavu.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Aug 18, 2022 #23 richie ze best said: Kaka naona umeamua kuandika pumba, Huu msiba wa sisi wote pangu pakavu. Click to expand... Mkuu niache tu,maisha magumu wacha nipunguze stress.
richie ze best said: Kaka naona umeamua kuandika pumba, Huu msiba wa sisi wote pangu pakavu. Click to expand... Mkuu niache tu,maisha magumu wacha nipunguze stress.
richie ze best JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 600 Reaction score 1,023 Aug 18, 2022 #24 RRONDO said: Mkuu niache tu,maisha magumu wacha nipunguze stress. Click to expand... Sio siri wanatuumiza sana kwa makusudi bila kujali kwa kuwa wako meza kuu wanakula keki ya taifa na glass ya mvinyo...inaumiza,hawajali. Wameshindwa kubuni vyanzo vipya vya mapato zaidi ya kumkandamiza mwananchi wa kipato cha chini. Uchaguzi ukikaribia watatoa "tozo" zote na sisi tutashangilia kwa vifijo na vigelegele.
RRONDO said: Mkuu niache tu,maisha magumu wacha nipunguze stress. Click to expand... Sio siri wanatuumiza sana kwa makusudi bila kujali kwa kuwa wako meza kuu wanakula keki ya taifa na glass ya mvinyo...inaumiza,hawajali. Wameshindwa kubuni vyanzo vipya vya mapato zaidi ya kumkandamiza mwananchi wa kipato cha chini. Uchaguzi ukikaribia watatoa "tozo" zote na sisi tutashangilia kwa vifijo na vigelegele.
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,640 Aug 18, 2022 #25 Ukweli tumefanywa mapunguani kabisa!!
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,640 Aug 18, 2022 #26 Labda kunakitakachoongezwa time hii!!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Aug 18, 2022 #27 Pendekezo - Mwigulu awe waziri wa fedha wa dunia