GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Hii ni sumu Kali inayotokana na nyongo inayopatikana katika mwili Wa mamba ambae ni mnyama hatari sana kwa binaadamu na wanyama wengine.
Kama tunavyojua ukali na nguvu aliyonayo mamba awapo ndani ya maji basi hata nyongo yake ni hatari kwa maisha ya binaadamu.sumu hii hupatikana baada ya kuichukua nyongo ya mamba nakuchanganywa na dawa flani za kienyeji ambapo kutokea silaha hatari sana ya kibaolojia ambayo huua kwa muda mfupi sana,huwa haichukui muda zaidi ya dakika kumi habari huwa imekwisha.
Watu wenye imani za kishirikina huitumia kuangamiza watu kwa kuwawekea kwenye kinywaji kama chai au kahawa na MTU anapotumia kinywaji hicho basi huwa uhai wake umeishia hapo inakuwa baibai kwaheri mwalimu,ndugu na jamaa mnaanza kuandaa mazishi na matanga.
Sumu hii ni maarufu sana katika mkoa Wa kigoma,sehemu za kigoma mjini na mwambao Wa ziwa Tanganyika maeneo zinapofanyika shughuli za uvuvi,maeneo kama ujiji,katonga,kibirizi mwanga na vijiji vya ukanda Wa kusini wilaya ya uvinza kama lubengela,sigunga,mgambo.Na upande Wa vijiji vya mwamgongo,mtanga sumu hii imekuwa ikitumika kupoteza uhai Wa watu wengi sana.Ukijaaliwa kufika maeneo tajwa jihadhari sana ndugu yangu kwa kutokunywa kahawa,chai au kinywaji chochote kwa MTU usiemtambua kwani wengi wamepoteza uhai kwa kunywesha vijwaji vyenye sumu ya mamba au(nyongo ya mamba).
Kuna watu wengi wamepoteza wapendwa wao kupitia sumu hii akiwemo mzazi mmoja Wa mwanafunzi hassan sio jina halisi,ambae alikuwa msimamizi Wa ujenzi Wa shule ya sekondari buteko,sasa katika ushindani na aliyekuwa injinia Wake wakamtegea chain iliyokuwa imechanganywa na sumu ya mamba alivyokunywa tu akasikia kama utumbo unakatika katika akaimwaga chai kwenye majani ya mkomamanga pale pale majani yakakauka kama umetokea ukame, basi hakuchukua muda Wa dakika tano akapoteza uhai,sio mchezo hii kitu,mpaka sasa imebaki historia ya kusikitisha katika familia yake.
Mfano IPO mingi Ila cha kuzingatia unapofika maeneo niliyotaja bado kuwa muangalifu usianzishe uadui na watu usiowajua utapotezwa kwa sekunde kadhaa kwani wengi huangamiza maadui zao kwa kutumia kinywaji kilicho changanywa na sumu hii.