Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Nani kasema ni sukari? Unaamini uvumi wa vijijini karne hii!!Kama ni sukari koroga chai unywe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kasema ni sukari? Unaamini uvumi wa vijijini karne hii!!Kama ni sukari koroga chai unywe
Wewe jamaa unataka akamatwe na afungwe. Kule wanainchi wakihisi anaongea na mtu mbaya watawaunga Polisi na wale JWTZ, atapigwa na kujuta.Hua haiuzwi kiholela sijawahi kusikia mtu anauza,ila kwa kuanzia jaribu kwenda Kibondo anzia Mabamba,shuka hdi Kakonko Anzia Rugenge na Gwarama hope nimekupa pa kuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Foodmzuri,Kuna mapaka yanasumbua kila nikiyalisha sumu ya panya hayafi
Red Giant,Nani kakudanganya kuwa ni nyongo ya mamba ni sumu?
Nyingo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine(bile). Kazi yake ni kama ya ngongo zingine. Watu wamefanya utafiti na kuona ni hekaya tu. Sumu zipo nyingi sana porini, hasa kutokana na miti, na zinaua fasta. Hata kuna mihogo ni sumu lakini siyo sumu ya mamba. Hao wanaokwambia nyongo ya mamba ni sumu walitaka tu kuficha watu wasijue wamepata wapi sumu.Red Giant,
Wewe ambaye hukudanganywa tupe review yako kwamba nyongo ya mamba sio sumu kama sio unafuata uvumi tu Wa wasomi wapumbavu.
Mimi nimeona mtu amekuwa poisoned na nyongo ya mamba tena kwa kusuuziwa tu kwenye glass na akawekewa Beer inakata utumbo kama amemeza viwembe na maiti inakuwa green acha mchezo.
Kutega mamba ni kosa la maliasili na mnaporuhusiwa kumtega pale anaposumbua au kuhatarisha maisha ya jamii, maliasisili huja na kuhakikisha wametoa nyongo na kuondoka Mayo kwenda kui destroy why do you think they do that?
Red Giant,Nyingo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine(bile). Kazi yake ni kama ya ngongo zingine. Watu wamefanya utafiti na kuona ni hekaya tu. Sumu zipo nyingi sana porini, hasa kutokana na miti, na zinaua fasta. Hata kuna mihogo ni sumu lakini siyo sumu ya mamba. Hao wanaokwambia nyongo ya mamba ni sumu walitaka tu kuficha watu wasijue wamepata wapi sumu.
Kama umepitapita shule utagundua kuwa bile haijawahi kuwa sumu.
Hakuna mnyama mwenye nyongo ambayo ni sumu. Hata nyingo ya nyoka si sumu. Watu mnafikiri nyongo ina kazi ya kumeng'enya mifupa na vitu vya hatari, kazi ya bile ni kusaidia mafuta kunyonywa kutoka tumboni kwenda kwenye damu. Ukiijua kazi ya bile utajua kuwa haina usumu wowote. Hao komodo na nyoka wanaspecialized grands ambazo hutengeneza sumu na si bile.Red Giant,
We we umezungumzia kupitia shule.
Mimi nazungumzia kwenda shule, you should differentiate the species and categories of living organisms particularly animals and birds in short let me not make it a class, reptiles like Komodo, Crocodiles, Alligators carry toxic biles because they feed on decayed mass.
Heron, Secretary Bird feed on snakes so they also have toxic biles if you know the function of bile in an animal or any living creature with a bile you will understand this topic.
The King stock Marabou has the most most dangerous bile hopefully than that of the crocodile because the king stock can swallow a tubular bone of a goat and that bone is crushed within 5 minutes ndege John's anakunya chokaa anaenda zake.
Nyoka karibu wrote nyongo zao no sumu isipokuwa China wazi neutralize na kuxitengenezea dawa has a Vaccines.
Wonderful enough China does not offer snake bile Vaccines for injecting you inhibit them. I came across a friend in China in year 2000 who gave me these vaccines for Malaria, Typhoid and Cholera luckily enough am safe ROM these diseases to date.
So brother Rend Giant retune your mind that the are some animal and Bird biles that are poisonous.
Mafuta ya mamba yanafanyaje?,tupe somo mkuu.Kiboko yake..mafuta ya chatu
Goite