Kwani yule kuruta aliyetaka kutuulia Tambwe wetu alifungiwa mechi ngapi vile??Nyoso kafungiwa kwa kosa la "kumtomasa" sehemu za siri Maguli katika mechi ya Simba na Mbeya City.
Agrey kafungiwa kwa kosa la kumpiga "kiwiko" Okwi katika mechi kati ya Simba na Azam.
Source: Bin Zubeiry
NB: Asante TFF kwa kutenda haki, nadhani sasa wale mabeki "katili" wengine kama Michael wa Ruvu Shooting na Tumba wa Coastal n.k watakua wamejifunza kitu.
Kwani yule kuruta aliyetaka kutuulia Tambwe wetu alifungiwa mechi ngapi vile??
Hongereni tff kwa kutenda haki ila maamuzi yenu yanachelewa sana.
Yule mpaka sasa bado anadunda tu ligi kuu, maamuzi yake bado.
Kwani hata yale makosa aliyotendewa Elias Maguli yalianza kuwa gumzo kwenye gazeti la chapioni!?? tena wakati lile gazeti linaweka zile picha za Juma Nyosso anamtoa bikira Maguli ninyi watu wa simba mlichonga sana kwa kuona kuwa gazeti halikumtendea haki maguli???.Yule magazeti yalimfungia
TFF haifanyi maamuzi ya kukurupuka
Yule mwenyewe alichezewa rafu na Tambwe...Kwa hi ngoma droo
Hongera TFF kwa maamuzi sahihi
cc Makoye Matale
Kwani hata yale makosa aliyotendewa Elias Maguli yalianza kuwa gumzo kwenye gazeti la chapioni!?? tena wakati lile gazeti linaweka zile picha za Juma Nyosso anamtoa bikira Maguli ninyi watu wa simba mlichonga sana kwa kuona kuwa gazeti halikumtendea haki maguli???.
Mimi nadhani hata hiyo adhabu ilitolewa kwa Nyosso imetolewa kwa kutumia ushahidi wa picha za kwenye magazeti. Ila nashangaa kwann yule kuruta wa ruvu shooting hajapewa adhabu kwa kile kitendo cha kutaka kumtoa uhai Amisi Tambwe, eti kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha, eti habari zenyewe zilikuwa za magazetini. Tff ya malinzi bure kabisa.
Taarifa zinasema kwamba huyo jamaa hakuwepo kwenye kikao hivyo hakuweza kupewa adhabu kwa sababu hajatoa utetezi bado, akishatoa utetezi ndio hukumu itafuata.Kwani yule kuruta aliyetaka kutuulia Tambwe wetu alifungiwa mechi ngapi vile??
Hongereni tff kwa kutenda haki ila maamuzi yenu yanachelewa sana.
katika maelezo ya utetezi eti Morris anasema Okwi aliingia kwenye reli na waligongana....ptyuuuu.... kugongana kuko vile?
Nyoso mmh ila ana mwili wa kiume wa mazoezi hasa, msisome hapo...
Sema ana tabia za kishenzi za chokoroni huko na sura ngumu.
Amejuta hatorudia kamwe, ila na Maguli mbona alitulia tu??? Nilitegemea pale ameguswa angeshtuka kwa kuruka na kugeuka kujua kulikoni.
Baada ya magazeti ndio anajifanya oooh nimedhalilishwa loh!!! Nayeye aliona raha bana asisumbue watu.