Nyoso afungiwa mechi 8, Agrey Moris mechi 3

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Nyoso kafungiwa kwa kosa la "kumtomasa" sehemu za siri Maguli katika mechi ya Simba na Mbeya City.

Agrey kafungiwa kwa kosa la kumpiga "kiwiko" Okwi katika mechi kati ya Simba na Azam.

Source: Bin Zubeiry

NB: Asante TFF kwa kutenda haki, nadhani sasa wale mabeki "katili" wengine kama Michael wa Ruvu Shooting na Tumba wa Coastal n.k watakua wamejifunza kitu.
 
Kwani yule kuruta aliyetaka kutuulia Tambwe wetu alifungiwa mechi ngapi vile??
Hongereni tff kwa kutenda haki ila maamuzi yenu yanachelewa sana.
 
Hatukatai beki anatakiwa atumie mbinu mbalimbali kuhakikisha goli halifungwi ila sio kwa kufanya matendo ya. kipuuzi uwanjani.Hongera TFF
 
Kwani yule kuruta aliyetaka kutuulia Tambwe wetu alifungiwa mechi ngapi vile??
Hongereni tff kwa kutenda haki ila maamuzi yenu yanachelewa sana.

Yule magazeti yalimfungia
TFF haifanyi maamuzi ya kukurupuka
Yule mwenyewe alichezewa rafu na Tambwe...Kwa hi ngoma droo
Hongera TFF kwa maamuzi sahihi

cc Makoye Matale
 
Last edited by a moderator:

Yule mpaka sasa bado anadunda tu ligi kuu, maamuzi yake bado.
 
Hili suala la nyoso itabidi ukiwa uwanjani mikono unaifungia mfukoni ili isichezecheze
 
Hapo TFF wanatakiwa waangalie pia timu ambayo ilipata madhara siku ya mechi inafaidikaje na huko kufungiwa, mfano Aggrey alivyotenda lile kosa na Okwi kuzimia, wachezaji wote wa Simba pamoja na benchi la ufundi waliathirika kisaikolojia, walitoka kwenye mchezo huku yeye Aggrey akibaki uwanjani na kuisaidia timu yake kutoa sare, kama haitoshi kocha alilazimika kufanya sub ambayo haikuwa kwenye mipango yake.
 
Yule magazeti yalimfungia
TFF haifanyi maamuzi ya kukurupuka
Yule mwenyewe alichezewa rafu na Tambwe...Kwa hi ngoma droo
Hongera TFF kwa maamuzi sahihi

cc Makoye Matale
Kwani hata yale makosa aliyotendewa Elias Maguli yalianza kuwa gumzo kwenye gazeti la chapioni!?? tena wakati lile gazeti linaweka zile picha za Juma Nyosso anamtoa bikira Maguli ninyi watu wa simba mlichonga sana kwa kuona kuwa gazeti halikumtendea haki maguli???.
Mimi nadhani hata hiyo adhabu ilitolewa kwa Nyosso imetolewa kwa kutumia ushahidi wa picha za kwenye magazeti. Ila nashangaa kwann yule kuruta wa ruvu shooting hajapewa adhabu kwa kile kitendo cha kutaka kumtoa uhai Amisi Tambwe, eti kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha, eti habari zenyewe zilikuwa za magazetini. Tff ya malinzi bure kabisa.
 
Ile ya Tambwe kuna hata picha zinazoonesha Tambwe anamng'ata yule jamaa wa Ruvu.

Hapo shukuruni TFF wamewapendelea...otherwise Tambwe na Michael wangefungiwa wote
 
katika maelezo ya utetezi eti Morris anasema Okwi aliingia kwenye reli na waligongana....ptyuuuu.... kugongana kuko vile?
 
Kwani yule kuruta aliyetaka kutuulia Tambwe wetu alifungiwa mechi ngapi vile??
Hongereni tff kwa kutenda haki ila maamuzi yenu yanachelewa sana.
Taarifa zinasema kwamba huyo jamaa hakuwepo kwenye kikao hivyo hakuweza kupewa adhabu kwa sababu hajatoa utetezi bado, akishatoa utetezi ndio hukumu itafuata.
 
Nyoso mmh ila ana mwili wa kiume wa mazoezi hasa, msisome hapo...
Sema ana tabia za kishenzi za chokoroni huko na sura ngumu.
Amejuta hatorudia kamwe, ila na Maguli mbona alitulia tu??? Nilitegemea pale ameguswa angeshtuka kwa kuruka na kugeuka kujua kulikoni.
Baada ya magazeti ndio anajifanya oooh nimedhalilishwa loh!!! Nayeye aliona raha bana asisumbue watu.
 
Bangi mbaya sana.Yule nyoso inaonekana. anaila kabisa na si kuivuta.
 
katika maelezo ya utetezi eti Morris anasema Okwi aliingia kwenye reli na waligongana....ptyuuuu.... kugongana kuko vile?

Morris mpuuzi sana.. sawa yeye alikuwa kwenye reli, alipomuona Okwi yupo kwenye nyota akamfuata huko hoko ndo akampiga kiwiko.. sasa kosa la nani?? Alitakiwa naye afungiwe mechi 8.
 
Nyoso mmh ila ana mwili wa kiume wa mazoezi hasa, msisome hapo...
Sema ana tabia za kishenzi za chokoroni huko na sura ngumu.
Amejuta hatorudia kamwe, ila na Maguli mbona alitulia tu??? Nilitegemea pale ameguswa angeshtuka kwa kuruka na kugeuka kujua kulikoni.
Baada ya magazeti ndio anajifanya oooh nimedhalilishwa loh!!! Nayeye aliona raha bana asisumbue watu.

Nakuona Bantu lady unaandika kwa hisia sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom