Kama sijakosea simba ni kesho, leo ni Prisons vs Azam.Leoookaka
Lini?
Leoookaka
Mechi itachezwa Kesho Jumatatu tarehe 22/01/2018Leo kagera wanakaa vizuri kabisaa. Wasiiishi kwa kukariri. Pale pale kwao wanakaa leo. Keep my words.
Leo.wap wwLeo kagera wanakaa vizuri kabisaa. Wasiiishi kwa kukariri. Pale pale kwao wanakaa leo. Keep my words.
Ni kesho mkuu...tunatoa kipigo kule Kaitaba.Leo kagera wanakaa vizuri kabisaa. Wasiiishi kwa kukariri. Pale pale kwao wanakaa leo. Keep my words.
Acha kukariri...mwenye hofu atakuwa ni Nyoso...kazi ya Bocco itakuwa ni attacking, attacking, attacking.Bocco hatacheza mpira. Kila sehemu atamuona Nyosso
Ndiyo maana Nyosso hutumia mbinu kumtoa mchezoni. Kazi yake I defending, defending and defending.Acha kukariri...mwenye hofu atakuwa ni Nyoso...kazi ya Bocco itakuwa ni attacking, attacking, attacking.
Adhabu ya Nyosso haijamfunza?Acha kukariri...mwenye hofu atakuwa ni Nyoso...kazi ya Bocco itakuwa ni attacking, attacking, attacking.
Wote hawatachezaNdiyo maana Nyosso hutumia mbinu kumtoa mchezoni. Kazi yake I defending, defending and defending.
Kesho siyo mbali...tusiandikie mate.Ndiyo maana Nyosso hutumia mbinu kumtoa mchezoni. Kazi yake I defending, defending and defending.