Nyosso vs Bocco, Kagera vs Simba SC! Mechi tamu sana usikose

Nyosso vs Bocco, Kagera vs Simba SC! Mechi tamu sana usikose

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Klabu ya simba sc itashuka dimbani kumenyana na kagera sugar.Mechi hii inaweza kuwa na mvuto wa aina yake sababu msimu uliopita simba sc walipoteza point 3 kutoka kwa kagera na hivyo kupoteza matumaini ya kuchukua ubingwa na hadi kufikia viongozi wa simba kuandika barua Fifa kudai point 3.

Tukio la pili linawakutanisha beki katili Juma Nyosso na mshambuliaji John Bocco. Battle hii pia itavutia sana.

f63b07a5aeafc87294b061678e0887ef.jpg
 
Halafu wote nadhani wote ni makapteni wa timu zao! Patamu hapo![emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Bocco hatacheza mpira. Kila sehemu atamuona Nyosso.
 
Boko lainiii...nyoso udenda unamtoka. Kesho avae skin tight 5 la sivyo akiruka hewani analo la kati
 
Acha kukariri...mwenye hofu atakuwa ni Nyoso...kazi ya Bocco itakuwa ni attacking, attacking, attacking.
Ndiyo maana Nyosso hutumia mbinu kumtoa mchezoni. Kazi yake I defending, defending and defending.
 
Ndiyo maana Nyosso hutumia mbinu kumtoa mchezoni. Kazi yake I defending, defending and defending.
Kesho siyo mbali...tusiandikie mate.
Atakayekuwa bora ndiye atakayemfunika mwenzake.Kwa wasiocheza mpira kama wewe, hautaijua thamani ya Bocco kama hatafunga.Yaani assist kwako, is not an issue.
 
Back
Top Bottom