Nyota 5 'wa Kimataifa' wa Simba SC kulitetemesha bara La Afrika.

Dk 67: Zambia 2-0 Guinea-Bissau

Zambia bado wanaendelea kumiliki mpira kwa kiwango kikubwa.. Na hii inachagizwa na viwango bora kabisa vinavyooneshwa na Chama pamoja na 'Patna wake' Sinkala.
 
Dk 75: Zambia wanafanya Sub ya Kwanza; Mwepu anatoka Salulani anaingia
 
Dk 76: Zambia wanafanya Sub ya pili: Patson Daka anaingia kuchukua nafasi ya Augustine Mulenga
 
Dk 79: Dakika 3 baada yakuingia Patson anashindwa kutumia vyema majalo ya Chama baada ya kukosa nafasi ya wazi hapa.. Alikua yeye na kipa.
 
Goal

Dk 81: Zambia 2-1 Guinea-Bissau (Silva)

Hii goli limetokana na uzembe wa hali ya juu baada ya beki wa Zambia Mweene kujaribu kumpiga chenga Silva.. Matokeo yake kanyang'anywa na mpira ukatiwa kimiani.
 
Dk 88: Zambia 2-1 Guinea-Bissau

Guinea ni kama wamechokoza mzinga wa Nyuki, wanashambuliwa haswa
 
FT: Zambia 2-1 Guinea-Bissau

Mpira umemalizika, na Zambia akiondoka na point 3 muhimu ambazo zinawasogeza hadi nafasi ya 2 katika msimamo wa kundi lao.

NB: Man of the match leo ni Clatous Chota Chama, ambaye ameassit magoli yote mawili ya Zambia.
 
FT: Zambia 2-1 Guinea-Bissau

Mpira umemalizika, na Zambia akiondoka na point 3 muhimu ambazo zinawasogeza hadi nafasi ya 2 katika msimamo wa kundi lao.

NB: Man of the match leo ni Clatous Chota Chama, ambaye ameassit magoli yote mawili ya Zambia.
Cc Prince Kunta
 
Hivi yule Mwaikambo hajaitwa DRC hata timu ya Ndombolo?[emoji196][emoji196][emoji16][emoji16]
unafananisha DRC na Uganda,Rwanda na Zambia ..kweli nyie vilaza..mbona wakina Gyan na Kotei hawajaitwa Ghana
 

Vipi chirwa hajaitwa hata kuchoma mahindi
 
Kwa hiyo mechi ya juma pili na stand United haipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…