Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Prince KuntaFT: Zambia 2-1 Guinea-Bissau
Mpira umemalizika, na Zambia akiondoka na point 3 muhimu ambazo zinawasogeza hadi nafasi ya 2 katika msimamo wa kundi lao.
NB: Man of the match leo ni Clatous Chota Chama, ambaye ameassit magoli yote mawili ya Zambia.
Hahahaha aseeeHakika Simba imesheheni magwiji wa soka la Kimataifa..
Kwa kifupi Simba ingepaswa kucheza ligi kuu ya Uingereza....
unafananisha DRC na Uganda,Rwanda na Zambia ..kweli nyie vilaza..mbona wakina Gyan na Kotei hawajaitwa GhanaHivi yule Mwaikambo hajaitwa DRC hata timu ya Ndombolo?[emoji196][emoji196][emoji16][emoji16]
Hivi yule Mwaikambo hajaitwa DRC hata timu ya Ndombolo?[emoji196][emoji196][emoji16][emoji16]
Mechi Ndo inaanza hapa National Heroes Stadium.. Ni Zambia vs Guinea-Bissau
Kikosi Cha Kwanza Cha Zambia.
1. Kennedy Mweene
2. Solomon Sakala
3. Stoppilla Sunzu
4. Kabaso Chongo
5. Lawrence Chungu
6. Nathan Sinkala
7. Enock Mwepu
8. Clatous Chota Chama
9. ubambo Musonda
10. Augustine Mulenga
11. Justin Shonga
Sub:
1. Toaster Nsabata
2. Gideon Sichone
3. Isaac Shamujompa
4. Salulani Phiri
5. Rainford Kalaba
6. Patson Daka
7. Fashion Sakala
8. Bruce Musakanya
9. Lazarous Kambole
Kikosi Cha Kwanza Cha Guinea-Bissau
1. Jonas Asvedo Memdes
2. Eliseu Soares
3. Edigerson Gomes
4. Juary Marinho Soares
5. Bocak Balde
6. Manconi Soriano Mane
7. Jose Luiz Lopes
8. Francesco Santos
9. Tony Silva
10. Carlos Apna Eubalo
11. Frederic Mendy
Cc Prince Kunta