lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,038
Mchezaji wa Simba ya Dar es Salaam ambaye ni zao la timu ya SC Villa ya Kampala na aliwahi kuchezea timu za Etoilr du Saheli ya Tunisia na Yanga SC ya Dar es salaam amefunga pingu za maisha mjini Kampala.
Ilikuwa ni nzuri sana!
===========================
Mshambuliaji wa Simba na timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amefunga ndoa na mchumba wake Florence Nakalegga.
Mchezaji huyo na mchumba wake Florence walifunga ndoa Jumamosi, June 27 jijini Kampala Uganda, mbele ya ndugu na marafiki zao.
Wachezaji wenzake kwenye timu ya Uganda Cranes na zingine walihudhuria pia sherehe hiyo.
Ndoa yao ilifungwa kwenye kanisa la Rubaga Miracle centre jijini humo.
Chanzo: Kili Lager Blog