Nyota Okwi Emmanuel apata Jiko

Nyota Okwi Emmanuel apata Jiko

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,466
Reaction score
9,038
Mchezaji wa Simba ya Dar es Salaam ambaye ni zao la timu ya SC Villa ya Kampala na aliwahi kuchezea timu za Etoilr du Saheli ya Tunisia na Yanga SC ya Dar es salaam amefunga pingu za maisha mjini Kampala.

Ilikuwa ni nzuri sana
!
hRLftR


===========================

Okwi-620x400.jpg



Mshambuliaji wa Simba na timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amefunga ndoa na mchumba wake Florence Nakalegga.

Mchezaji huyo na mchumba wake Florence walifunga ndoa Jumamosi, June 27 jijini Kampala Uganda, mbele ya ndugu na marafiki zao.

Wachezaji wenzake kwenye timu ya Uganda Cranes na zingine walihudhuria pia sherehe hiyo.

Ndoa yao ilifungwa kwenye kanisa la Rubaga Miracle centre jijini humo.

Chanzo: Kili Lager Blog
 

Attachments

  • okwi.jpg
    okwi.jpg
    39 KB · Views: 358
Mkuu picha nzuri na hongera kwa bw. & bibi Okwi, lakini hapo kwenye mstari wako wa mwisho ndio umeharibu, kwa kuoa ukiwa na miaka hiyo 28 ni sawa tu.
 
ametisha okwi....

kpah sherman na lansana camara wao ndoa zao lini?

sasa nimeamini ukiwa tu simba sports club kila kitu chako kitafanikiwa tu kwani kuna nyota ya mafanikio. hongera sana emanuel gabriel okwi kwa kufunga ndoa na nakutakieni kila la kheri na maisha mema na shemeji yetu wa ukweli na akhsante pia kwa kumshawishi kiiza kujiunga na wekundu wa msimbazi.

kama naiona vile striking force ya simba. huku okwi, kule mavugo, hapa kiiza na mbele yao anamaliza mwenyewe mwenye simba yake mussa hassan mgosi na kwa watu hawa nina uhakika kila timu itakayokutana na mnyama simba sports club goli ndogo watakazofungwa ni " brazil " au " wiki " nikimaanisha magoli 7.

na kuna uwezekano simba tukachukua ubingwa wa v.p.l 2015 / 2016 raundi ya kwanza tu ya ligi.
 
cleverbright;

niliwahi skia shemeji yetu ni m bongo....mm simba damu ila kwa simba kufanya vizuri matumaini ni F amna kitu tena pale simba ata wasajili vip.
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa anaemsimamia Okwi kafanana sana na Maxence Melo .
 
Last edited by a moderator:
cleverbright;

Habari ilikuwa nzuri ila wewe na matapishi yako ndo umeharibu ladha
 
Last edited by a moderator:
Mkewe akitapika tu, jamaa anaomba ruhusa ya siku tatu lakini anakaa zake week mbili kuuguza. Akirudi hamna wa kumuuliza. Subirini kimbembe na kocha mwingereza. Sio wale wa kupangiwa timu na Kaburu au Hans Popo.
 
Back
Top Bottom