TANZIA Nyota wa zamani wa Orlando Pirates, Justin Shonga afariki dunia

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo), Justin Shonga, amefariki dunia.

Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Zambia, Dan Mwale, amethibitisha kutokea kwa kifo hili

Mwale alisema Shonga alifariki dunia katika Hospitali ya Polisi ya Sikanze baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Enzi za uhai wake Shonga aliwahi kuzitumikia timu za Orlando Pirates na Cape Town City kwenye nafasi ya mshambuliaji.

Pumzika kwa amani fundi wa Mpira, Shonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…