Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo), Justin Shonga, amefariki dunia.
Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Zambia, Dan Mwale, amethibitisha kutokea kwa kifo hili
Mwale alisema Shonga alifariki dunia katika Hospitali ya Polisi ya Sikanze baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Enzi za uhai wake Shonga aliwahi kuzitumikia timu za Orlando Pirates na Cape Town City kwenye nafasi ya mshambuliaji.
Pumzika kwa amani fundi wa Mpira, Shonga.