Nyota ya hawa vijana inazidi kuwa juu...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Jiwe walilolikataa waashi sasa linakua jiwe kuu la taifa,hongera vijana kwa kuipamba furaha ya nchi na kusindikiza ushindi wa safari ya AFCON.....picha inajieleza zaidi.
 
Hongera kwao kwa kuliwakilisha taifa vyema na kutinga AFCON after long waiting!
 
Write your reply...
shukrani zangu zaidi ziende kwa waganda hakika hawa ni rafiki zetu wa ukweli kabisa
Tuliwapa kazi kweli kwanza tukawaambia wamfunge cape verde wakafanya hivyo lesotho akatupiga mara tukawaambia tuwafunge ila na vijana wamejitahidi wanastahili pongezi ila uganda ni marafiki wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Tetema ya Vanyboy inachezwa na wachezaji wa Tanzania kila wakifunga goli?
Kwani hakuna wimbo mwingine hapa Tanzania zaidi ya Tetema?
Kwa sababu ni wimbo wa mpya wa taifa....halaf unaleta swaga kwenye kuucheza,hebu jaribu hapo ulipokaa kutetema.kidogo uone vibe lake
 
Jiwe walilolikataa waashi sasa linakua jiwe kuu la taifa,hongera vijana kwa kuipamba furaha ya nchi na kusindikiza ushindi wa safari ya AFCON.....picha inajieleza zaidi.View attachment 1053425
Naona hii sred yako kama vile maudhui yake yanalenga kuwasifia WCB na ngoma yao ambayo ilitawala sana uwanjani TETEMA.....hadi Ali Kiba alimaindi na kuhojiwa na Dizzim online akawaletea nyodo kisa TETEMAπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…